Mume wangu anacheat nifanyeje?

Mume wangu anacheat nifanyeje?

nimeolewa miaka kadhaa, nimechitiwa kupita maelezo na mi mwenyewe hivi sasa ni cheater wa ukwee

habari ndo hiyo. ndo maana sisumbuki na kucheatiwa, its just part of the love game.

Dah! kwahiyo unagegedwa tuuuuuu, kisa ulicheatiwa?! dawa ya moto ni moto eeee. kwa raha zakoo.
 
mh my dear, hata nisipozini, je unadhani nitauona ufalme wa mbinguni kama nitaenedelea kuvunja amri nyingine za God hata kama ya sita nitishika?

kwa mumgu dhambi ni dhambi, aliyezini na aliyetamani wote lao moja

Chezea Ayanda weweeeh!
 
Dah! kwahiyo unagegedwa tuuuuuu, kisa ulicheatiwa?! dawa ya moto ni moto eeee. kwa raha zakoo.

sigegedwi hata siku moja, ila huwa napata kitu roho inapenda. Ukisema kugegedwa, ina maana natumika wakati mie naenjoy tu tena kwa raha zangu. Sasa unataka nife kwa presha kumfuatilia mtu ambaye hata hivi sasa atakua gesti na mke wa mtu?

aka babu presha ya nini mie, wacha ale bata huko, na mie nile kivyangu. Ndo mana i told u, mimi nimefocus watoto, pesa, afya na good public relations. Sasa nyie endeleeni kusachi suruali za waume zenu na kupekua cmu zao.

mtu mzima mie
 
Kama ww huwezi, pole yako na mumeo.

hha ha ha ha mh kweli we mtoto sana.

naomba nikuulize kitu, huwa unampa tigo akitaka? je wewe ni bonge au portable? maana ukiwa either of the two atatoka kutafuta ambacho ur not.

mbona mengi hufanyi, je wewe una kelele au mkimya sana anu msafi sana? basi atatafuta aliye mchafu kidogo.

ha ha h a hujaijua bado hii love game
 
Haya endelea kuziniwa mtu mzima uliyeota mapembe. Cc watoto hatuzini hovyo. Kama mliokotana gesti cwezi kushangaa, bse kila mtu anarudi gesti. hahahahaaaaaaaa.
 
ha ha ha ha ha kweli watoto hamzini ovyo hata mie naona!

kweli ufalme wa mbinguni utakua mgumu kwa wengi.
sasa umesema uongo, shauri lako, kwaresma hii unadiriki kutoa ushahidi wa uongo?

kwa her bwana acha nikapate mvinyo somewhere.
 
pole mamii, nakushauri kusanya vithibitisho vyote kuwa anacheat then ongea nae ukimpa hatua utakazochukuaa.
1) kama anakuhitaji kama mke aache.
2) mwambie utamshtaki kwa mtu ambe anamuheshimu mfano kaka ake, ustadhi au askofu aliyewafungisha ndoa.n.k.
3) ila ckushauri kuondoka huyo ni mume wako komaa nae hao wa nje wezi tu.
4) pia jichunguze kujua chanzo cha kuchet, ongeza mahanjumati, mtt jipambe, yaan zidisha mambo kunako 6*6.

Nikwambie cri...mm wangu alicheat ckuhizi nimejipanga vibaya..yaan nikimkamata kwa kitanda mpaka analia wakati hakuwahi b4.

ha ha ha eti ukimkamata atalia, utalia weye bidada.
hivi nilikuaga eh. TCHAO
 
hha ha ha ha mh kweli we mtoto sana.

naomba nikuulize kitu, huwa unampa tigo akitaka? je wewe ni bonge au portable? maana ukiwa either of the two atatoka kutafuta ambacho ur not.

mbona mengi hufanyi, je wewe una kelele au mkimya sana anu msafi sana? basi atatafuta aliye mchafu kidogo.

ha ha h a hujaijua bado hii love game

hahahaaa, kumbe umekua umbo tu ila akili za kitoto sn,kutoka nje ya ndoa inawezekana ikawa nje ya hizo sababu ulizota. Je ww unatokanje ya ndoa bse mumeo anakitambi? ni foolish. je bse ni mkimya? au bse unamlipakisasi kwakuwa anatia nje? WW huridhiki na mwanaume 1 ndio maana unatoka nje.Sasa utakubaliana na mm kuwa mwanaume mzinifu ni wa mwanamke mzinifu bseumekiri hapo kuwa nyie woote wazinifu. So ngoma drooo hapo.
 
ha ha ha ha ha kweli watoto hamzini ovyo hata mie naona!

kweli ufalme wa mbinguni utakua mgumu kwa wengi.
sasa umesema uongo, shauri lako, kwaresma hii unadiriki kutoa ushahidi wa uongo?

kwa her bwana acha nikapate mvinyo somewhere.

Poa poa, cdanganyi huo ndio ukweli... unajua y huamini? bse huo co utamaduni wako.
 
ha ha ha eti ukimkamata atalia, utalia weye bidada.
hivi nilikuaga eh. TCHAO

Kwa raha zangu mamiiiii.. mwanamke kujiamnini atii. Najiamnini mm ndio deepa. Pole ayanda unasubiri mpaka uwezeshwe..lini?
 
Ni pm unipe namba ya mumeo nitasema nae kiutu uzima
 
hahahaaa, kumbe umekua umbo tu ila akili za kitoto sn,kutoka nje ya ndoa inawezekana ikawa nje ya hizo sababu ulizota. Je ww unatokanje ya ndoa bse mumeo anakitambi? ni foolish. je bse ni mkimya? au bse unamlipakisasi kwakuwa anatia nje? WW huridhiki na mwanaume 1 ndio maana unatoka nje.Sasa utakubaliana na mm kuwa mwanaume mzinifu ni wa mwanamke mzinifu bseumekiri hapo kuwa nyie woote wazinifu. So ngoma drooo hapo.

sasa mbona mumeo ni mzinifu wakati wewe ni bikira maria?
ah mumie, hebu nifanye kazi mie nihangaikie pesa, mambo ya ndoa yanachosha bana. kila siku ndoa, ndoa ah
 
Kwa raha zangu mamiiiii.. mwanamke kujiamnini atii. Najiamnini mm ndio deepa. Pole ayanda unasubiri mpaka uwezeshwe..lini?

ungekuwa unajiamini wala usingejipanga, eti ukimkuta atalia thubutuuuuuuuuu

nani anasubiri kuwezeshwa wewe! maybe sijakuelewa yani una maanisha kuwezeshwa kiuchumi ama? maana kama pesa ninazo mumie, angalau naweza sema shida na umaskini siujui infact tangu kuzaliwa kwangu sijui maana ya shida.
 
Poa poa, cdanganyi huo ndio ukweli... unajua y huamini? bse huo co utamaduni wako.

nakuamini mama, wewe ni mfano wa bikira maria ndo maana hata mumeo alikukuta bikira na hadi sasa hujahi gawa k hata one day na wala hujawahi cheat mumeo.

sijui why mumeo anaweza cheat bikira maria kama wewe jamani, aiseeeeee inauma eh
 
Back
Top Bottom