colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,928
Muombee kwa Mungu ili aache hiyo tabia,inawezekana...Jamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo mpaka siku ataamua kuacha kununa ndo mtaendelea kuongea.
Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri niishije na Mtu wa namna hii
Mwanaume mzimaa ununue miezi6 tena ukute sababu ya kipuuuziiii atakapomaliza kununa mm ndo naunga mwaka mzimaa
Ebooooooooooooo
Selfishness ni mbaya sana sweetie! Huwezi mtesa mwenzio kusudi moyo wako upae utakacho! Huo ni unyama...Huko ni kumuendekeza yeye ni nani asikosewe
Pole sana. Ila hicho sio kisirani bali ni hasira. Kisirani maana yake ni mikosi. Yaani huna chochote unachofanya ukafanikiwa na tatizo hilo linaondoka kwa kukutana na wataalum wa mambo hayo. Hasira sio ugonjwa wala kilema. Na dawa yake ni kusema na muhusika ili ajirekebishe tu. Na kama ni mtu msikivu anaekubali kukosolewa bila shaka atabadilika.Jamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo mpaka siku ataamua kuacha kununa ndo mtaendelea kuongea.
Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri niishije na Mtu wa namna hii
siwez wiki tu naona mwakaUmefurahiaaa mwenyewe.
Naww unakaaga miezi 6?!
Hata kichwani kuna shida unajua kuna watu wakili ya darasani wanazo nyingi sana lakini zamaisha yakawaida zipo zakuvukia barabara tu pale kwenye pundamilia basiHuyo sio mume ni kigego.... achana nae.. mtu ananuna miezi sita huyo ni gogo.
Hilo neno yeye anamaliza leo nami naunganisha ili aone kama ni vizuri kumfanyia mwenzio, wengine huwa ni malezi mabovu na upuuzi tu ndevu uso mzima ila mambo ya kitoto[emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49]Mwanaume mzimaa ununue miezi6 tena ukute sababu ya kipuuuziiii atakapomaliza kununa mm ndo naunga mwaka mzimaa
Ebooooooooooooo
Yaani hiyo ni tabia, hata kama si kujishusha ndiyo miezi 6 kweli, hapo unamimba ya miezi 6 mpaka mke anajifungua mtoto anafikisha miezi 3 ndiyo hasira zinaishi mmmmm kama sio usungura tope huo!Ukiona hivyo hauna tabia ya kujishusha/kuomba msamaha.