Nawe pia jitathmini, inawezekana kosa unaloliita dogo kumbe ni kubwaNdiyo ni wa ndoa ,mtoto mmoja
Wazazi sio polisiMama la mama, mwambie aache kisirani , hizo ni tabia za kike, afu ndoa ni kuvumiliana, ww mvumilie tu, huku ukimwitia wazazi wake wamhoji kwanini ananuna?
Mmh. Kama inafikia hatua hiyo inabidi ajiongeze sababu hata kama ndio hasira huwa zina kipimo na hizo za aina hiyo sio hasira tena yaani hapo tunaweza sema anakuwa amedhamiria.Hakujibu
Watu wanaropoka hapa hawajakutana na mtu wa hivyo.
Hata uongee umepiga magoti hakujibu anakaa kimyaa,
Simu hapokei wala sms hujibiwi.
[emoji23] [emoji23] [emoji119]haya ndio madhara ya kutopitia kwa kungwi
Huyu mama la mama anafata hisia zake zaidi wakati upande mwingine unaumia ndo maana mume wake ananuna! sasa mtoa mada kama ni mjanja atumie akili zaid ya hisia zake. Inabidi ache hizo habari zake ili husband awe okay...Naye ni binadamu kinachofuata hapo ni utumwa hata akifanya wrong basi kaa kimya kisa atanuna mmmmm