Mume wangu ana kisirani

[emoji350] HUYOOOO NI CHAGUO LAKOOOOOO CHAGUO, LAKO HUYOOO NI CHAGUO LAKOO CHAGUO LAKO [emoji445] (nakapenda sana haka kawimbo)
 
Kutoa papuchi kwa uhakika na kwa wanawake wenye kisirani dawa nihiyohiyo hakikisha anafika kileleni asubuhi shikamoo kibao
 
Acha kumkosea ss we ulishaona MTU anayependa kukosewa?Nina mashaka hata ww unapomkosea huwa unakuwa nunda yaani akiweka ugoko we unaweka chuma hapo ndo shida.Kama umeshamsoma vizuri epuka kumkasirisha na kumkosea pasipo ulazima,na unapogundua ww ndiye mwenye makosa kujishusha sio ujinga ila yote haya ni kama tu unampenda ila kama mmechokana mie Simooo.No Comment.
 
Wangu alikua hivyo akinuna namtegea usiku kalala naniuu imeinuka nakalia nakatikaa nikikojoa nalala zangu kimya,
Mara mbili mara tatu naona hiyo tabia imekufa kabisa.
 
Hakujibu
Watu wanaropoka hapa hawajakutana na mtu wa hivyo.

Hata uongee umepiga magoti hakujibu anakaa kimyaa,
Simu hapokei wala sms hujibiwi.
 
Hicho kisirani kinatokea wapi? Kuna maudhi labda unayoyafanya? Au huwa ana kisirani bila sababu
 
Mtoe sadaka lawe akapambane na makurubenge ya mji akili itamkaa sawa atakaporudi na boxer tu kisiran kwisha
 
Kanda maalumu nini maana hao wanatabia hizo halafu wale waliolelewa na mama zao ingali baba zao wapo hai wanahangaika na michepuko ndiyo tabia zao jinsi baba zao walivyokuwa wakiwasumbua mama zao nao hasira huishia kwa wake zao hawashauriki kqbisa
 
Naye ni binadamu kinachofuata hapo ni utumwa hata akifanya wrong basi kaa kimya kisa atanuna mmmmm
 
Ndoa yenu ina muda gani? Pole kwa mateso ya kiasi hiki. Kununa miezi sita? Dah! Kwa hiyo wakati amenuna hiyo miezi sita hata papuchi anasusia hataki kuigusa?

 
Ukute na yeye ana mme wake kazoea kumnunia ili abembelezwe mi najua wanawake ndio tunanunanuna ila sio kwa miezi sita,Shoga angu mchunguze vizuri.
Huenda anadalili za ukichaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio bure
 
Kutoa papuchi kwa uhakika na kwa wanawake wenye kisirani dawa nihiyohiyo hakikisha anafika kileleni asubuhi shikamoo kibao
Huwa wanasusa kila kitu unazani ni kununa tu kuongea mpaka papuchi hununiwa mkuu
 
Huyo mumeo nae mjinga...mwanaume unanuna nini alipaswa akuzibue makofi ukileta usenge ...mpk unyooke...kununa sio tabia ya kiume bora angekuwa anakuzibua,ulete uzi wa kubutuliwa kuliko kununiwa
Hao kinamama kiukweli huko kuzibuliwa vibao ndiko wanahitaji haswa. Lakini mwanaume mwenye busara na una shughuli zako za kukuingizia kipato usihangaike kumzibua vibao mwanamke maana utaibua kesi za polisi, ambazo zitachukua muda wako mwingi la muhimu mwanaume fanya yafuatayo;
1. kaa kimya kama huna mwanamke vile (hakikisha matumizi ya nyumbani yapo sawa, bills zote-umeme, maji, ada za watoto & matumiz mengineyo ya home...kamilisha ili watoto wasiteseke).
2. Epuka kumtegemea mwanamke kukuandalia mahitaji hapo home eg. Hakikisha vifaa vyako (nguo, viatu, nguo za ndani n.k.) vinakamilika/safi bila kumtegemea huyo VUVUZELA hapo home.
3. jikite zaidi kwenye shughuli zitakazokuletea maendeleo wakati huyo tarumbeta akitunga njia ya kujishebedua/kuomba msamaha.
NB: Mwanaume usiwe muongeaji, Fanya vitendo zaidi.
 
Good advice
 
Sasa kama anakublock kwenye mitandao ya kijamii alafu kila siku mnalala nae mnaamka nae inasaidia nini sasa kublock huko?

Ila mpe mapenzi moto moto kisirani kitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…