Mume wangu ana kisirani

Duuuhh hiyo tabia ya kike embu mchunguze usikute alilelewa na mamaake sana yaani mtoto wa mama!
Mkuu umenidhalilisha mimi niliyelelewa na mama. Sinaga kisirani na siendekezi hasira wala kununa, kwanza mwanaume unanunaje!!
 
Pole sana mkuu mumeo ni jamii ya watu ambao wapo straight muda wote yani wapo serious!
Utani utani hawana na ukiwaletea ujinga kidogo mnaweza gombana kabisa!

Sasa suluhisho hapo kuwa right muda wote na hayo makosa madogo madogo hakikisha hayatokei.
So baada ya kumsoma unaweza mtreat vzuri...
Ukisema yeye afate vimakosa vyako hiyo ni ngumu...
Inaelekea we ni mzembe maana umeleta hii mada hapa kuungwa mkono wa vimambo vyako hivyo...

You must change to in order meet the needs and requirements of your husband!
 
Hilo nalo sasa ndo nini kununa hivyo. Sorry mama la mama kwa kumuita hubby wako "HILO" nimepata hasira tuu
 
Huko ni kumuendekeza yeye ni nani asikosewe
 
Ukute na yeye ana mme wake kazoea kumnunia ili abembelezwe mi najua wanawake ndio tunanunanuna ila sio kwa miezi sita,Shoga angu mchunguze vizuri.
 
Nilifikiri Mimi tu Mwenye tabia kumbe tupo wengi, tatizo lenu tukishawaoa mnavimba kichwa na hutokana pale mnapokuwa mmejenga ote, kwaiyo mume anajua akikuacha mtagawana mali, kwaiyo bora akupotezee kupunguza hasira kwa makosa uliomtendea, na hii hata kama kosa likiwa dogo kwake huwa kubwa,
ANGALIZO, pamoja na kununa kwa mda wa miezi yote hio lkn usisubutu kumsaliti akajua hiyo shingo yako itakuwa halali yake, maana ya kisilani hicho ni wivu,
Ili kuizibiti hiyo hali hakikisha unakuwa mkweli kwake kwa kila jambo na usiwahi kumpandishia sauti, muoneshe kuwa unampenda saana, mtumie SMS za mapenzi kila wakati, angalia nguo gani anaipenda kuivaa sana uhakikishe inakuwa safi mala tu anapoivua ichukue na uifue...... Itaendelea
 
Halafu ww ni mshari!
Watu wanaopenda shari ni ngumu kuishi nao... wenda we ndio chanzo cha yote...
So namna ya kulitatua tatizo ni ww kwanza kuacha shari na utaona mumeo anaenjoy love na ww utalifurahia penzi.
Mkuu nakwambia ukiendelea kuwa na shari basi hamtadumu, ndoa yenu itavunjika mapema sana.
 
Usimuudhi tena
 
Atakua ndo huyo huyo
 
Huyo mumeo nae mjinga...mwanaume unanuna nini alipaswa akuzibue makofi ukileta usenge ...mpk unyooke...kununa sio tabia ya kiume bora angekuwa anakuzibua,ulete uzi wa kubutuliwa kuliko kununiwa
 
Miezi 6[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…