Mume wangu amenichunia

Mume wangu amenichunia

Hilo ni kawaida kwenye mimba yabkwanza na hata ya pili. Kwanza ulivyobeba ujauzito possibly umebadilika either hujijali, ama unamjibu vibaya ama umekuwa mzembe. Na yawezekana ulikatalia kidude chake cha kuchezea, unajua sisi watoto tunapenda michezo. Na kwa vile ni mimba ya kwanza mume anakuwa hana psychological experience ya mama mwenye mimba. Hivyo mabadiliko hayo ana hisi unamfanyia makusudi, na yawezekana anagegeda nje. Hata mm ilinitokea hiyo tulikuwa tunagombana kila siku. Maana mke alikuwa mkali balaa so nikaona bora niwe narudi usiku sana
Mkuu umemaliza kila kitu!!!hayo yote uliyoeleza ndo chanzo cha huyo mume kumchunia mkewe!

Hawa viumbe wa kike huwa yahitaji subira na busara sana kuishi nao kipindi cha ujauzito wa kwanza.

Anaweza kuamka saa saba usiku akasema anataka chips kuku, Au anataka chocolate itoke nakumat supermarket usiku huo!!

Sasa kwa kuwa mume bado Lena kwenye hizo mambo anaona kama anazeeshwa tu akaamua amnunie my wife wake!!

Hatari sana
 
HUWA MNASUMBUA SANA MKIWA WAJAWAZITO. HUO NDO UKWELI.

CHEKI NI WAPI UMEZIDISHA MADEKO NA USUMBUFU.

HATA MIMI NILIKUWAGA NACHUNA TU. ILA NISHAFUNGA KAZI.
 
Natamani ningekuwa karibu yako ningekupatia zawadi ujue. Nani alikupatia hiyo hekima, ndoa yako itakuwa na amani kweli. Unajua sisi wanaume mkeo akikuheshimu na kuonesha yupo kwa ajili yako, hata akatize mwanamke mbele yako mrembo hauwezi kumtamani.

Unastahili kuwa mke wa mume anayejitambua
Thank you my dear... Hope nawe ndoa yako inaamani. Kama sivo Mungu aingilie kati na kama bado hujaingia huko basi Mungu akukutanishe na yule maalum aliemwandaa kwajili yako...
 
Yule jamaa ana tabia kike....mwanaume unaanzaje kununa bila sababu tena wiki tano kwa mfuatano!!??!!
 
Pole sana ila ujitahidi tu uende clinic ni muhimu sana ili kujua kama mtoto anaendelea vizuri au la. Nashindwa kumuelewa mumeo kwa kushindwa hata kukuletea chakula ukipendacho kwa kudai kwamba utamzeesha! Baadhi ya wanaume wanashangaza sana.
Mwingine anakuamsha usiku anataka chips kuku, unaenda kutafuta chips unaleta anakutupia usoni anasema anataka sandwich toka samakisamaki ilhali nyie mnakaa mbezi kibanda cha mkaa.

Jamaa kajifikiria atoke mbezi hadi samakisamaki usiku saa Sita tena na bodaboda, akaona anazeeshwa tuuuu Ikabidi asuse tu mana hakuna namna!!!
 
Jamani tullio ndan ya ndoa tunafahamu. Mimi natamani hata kuachana. Sometimes mwanamke anaona anaweza kuwa juu ya mwanamme. Hata mimi leo ni siku ya 5,siongei na mke wangu. Tatizo ndo hilo kutaka kunipanda kichwani. Sitaruhusu hiyo Hali. Mimi siyo bwege. Wanawake badilikeni. Mnasababisha sana wanaume kuwa na maamuzi mbadala yaliyo mengi vichwani meeting.

tumeambiwa tuishi nao kwa akili mkuu usikubali kununiwa na mwanamke haoa ndio akili inapohijika kutumika sio jambo jepesi
 
Sometimes mbwmbwe za mimba mnazidisha,visirani ,dharau ,majibu ya hovyo na usumbufu wa kutosha. Mie wife ana mimba ya miezi 6 kama wewe na haya ninayokuambia anayo nikamuomba dada yangu kaja home, nikitoka kwenye mishe zangu naenda tandika masanga ,wiki 2 tu kanyoka mbwembwe zimeisha mda mwingine nanyi mnazidisha
 
Kama alikuwa hataki kuzeeshwa basi angebaki single ili aendelee kuwa kijana milele.

😉😉

Mwingine anakuamsha usiku anataka chips kuku, unaenda kutafuta chips unaleta anakutupia usoni anasema anataka sandwich toka samakisamaki ilhali nyie mnakaa mbezi kibanda cha mkaa.

Jamaa kajifikiria atoke mbezi hadi samakisamaki usiku saa Sita tena na bodaboda, akaona anazeeshwa tuuuu Ikabidi asuse tu mana hakuna namna!!!
 
Yaani ww hata hii hali ya uchumi huioni kila kitu kipo ndani we kipika hutaki msipobadilika mtaona mnanyanyaswa hali mbaya unataka mtuu aache mishe zake ambazo haziendi poa muandamane clinic we nenda clinik zipo mpaka mitaani jikalie hapo utalalamika kila siku
 
Week 5 kukuchunia huyo jamaa yako hajitambui na hajui connection iliyopo kati ya wewe kuwa stressed na kiumbe kilicho tumboni.

Pole sana,binafsi ujauzito wa kwanza wa mke wangu niliwahi mnunia week moja ingawa mahitaji yake nilikuwa nampa lakini hakuna story na hiyo ilitokana na kunishushua na kunijibu hovyohovyo bila kosa lakini nilipogundua sio yeye nikawa mpole tu.

Sasa hv anayo tena mwendo ni huohuo kushushuliwa kwangu ni kama dozi lakini sasa hv nishajua ni mapito tu anapitia.

Ushauri:Kama jamaa ataendelea kukuchunia fanya mpango uende kwenu especially kwa mama yako au nduguyo yeyote mnae iva kwa ajili ya kukusimamia.
 
Hakyanani wanawake wa Daresalam bhana......
Miezi sita hujaenda clinic eti unasubiri upelekwe ama kweli naona sasa mtawashinda hata wa mikoani.....
Anyway Kuhusu kununiwa jaribu kujishusha kidogo ili huo upepo upite na stress zitapungua.

Kuna msemo wa kiswahili kutoka ktk kitabu cha Alfu Lela Ulela usemao
"Mhitaji hanithi lau kana rijala"

Jishushe mama we ndie muhitaji
 
Mimba ya miezi sita hujaenda clinic? Fanya haraka uanze clinic, muende wote ili mpimwe maradhi kama HIV, muhimu sana kwenda kujua afya zenu na kiumbe kilichopo tumboni.

Huyo jamaa yako sijui nimuite vipi, huwezi kumnunia mke mwenye ujauzito, unless kwa zile imani zetu za "mimba imemkataa", otherwise hana sababu hata kama wewe ndio una makosa.
Urewedi mtani? Nani kakuficha?
 
Back
Top Bottom