Mume wangu amenichunia

Mume wangu amenichunia

Nitajishusha najua tu ila kwa sasa roho inasita. Kinachonisikitisha ni jinsi navyojitoa kwake na moyo wote lakin yy kunijali tu kwa huu ujauzito ni ngumu
Yawezekana kwa sasa umemunyima kitu muhimu wajua wakati mwingine nyinyi wamama wajawazito kuna wakati hamtaki kubughudhiwa na hivyo kuamua kumunyima tunda.Ninashauri kama ndiyo sababu hii uendelee kumpatia ili mmeo afunguke arudishe mood yake ya kawaida.

Otherwise,jaribuni kuongea hasa wewe ujishushe umsemeshe kwa kutaka kujua chanzo cha tatizo ili muongee na kutatua tatizo linalomfanya akuchunie wakati wewe uko katika hali hiyo.
 
IMG-20170221-WA0007.jpg
 
Yawezeka mfukoni hapasomi vizuri ndio maana kakuchunia......Ana stress za maisha magumu
 
Kwani bajeti iliongezeka kwa kiasi gani hapo home maana listi ya hiyo misosi na kipato cha jamaa pengine vimekinzana aiseeeeeee jamaa kaona isiwe tabu kandukika. Lakini nafikili afya yako ni jukumu lako husband ni rafiki mwema wa kudumu sio part yako hivyo jari afya yako mama huyo jamaa atarudi akijisikia.
 
nenda clinic dada usisubiri memeo huyo atakayekuwa kwenye shida baadaye ni wewe japo atuombee iwe hivyo
 
Pole sana dear, hebu jaribu kujiangalia kwanza wewe inawezekana umekua mchafu sna wakati huu wa ujauzito au kuna kitu ambacho kimebadilika hakimfurahishi. Au pengine ameona hapati mapenzi kama zamani na inawezekana kapata mchepuko huko nje, yote hayo yanawezekana.
All in all mtangulize Mungu atakufungulia mlango wa uvumilivu na hekima.
 
hata wewe unagubu unawezaje kumchunia mtu aliekuchunia kwa wiki zote hizo?. wote mnashida usimlaumu mwenzako,unajua fika chanzo na ni wewe unajua dawa,sisi washauri tu tena hatujui tunachokishauri maana umemuelezea yeye na yeye hajakuelezea wewe.

kiufupi anza kujishusha na uonyeshe ukomavu,mimba ni baraka inahitaji ushirirkiano.
mwisho nenda clinic sio lazima akupeleke,ni mhimu kwa afya ya mtoto.
 
Inawezekana amekusaidia kubeba zile moods za ujauzito, maana nasikia kwa wale wanaopendana sana hayo mambo yapo. Badala ya wewe kununa na kumsumbua yeye ndio ananuna na kusumbua wewe.

Pamoja na hayo, nakushauri jishushe tu, usichoke kumbembeleza, atajirudi. Wiki tano ni nyingi sana na kwa hali yako haitakiwi iwe hivyo. Ukivimba na wewe hakika nyote mtapasuka.

Uwe na jioni njema.
 
Hakuna wanawake mnakera sana.sometimes mtu unaamua kukaa kimya tu siwezi kufa kwa pressure kwa sababu ya mtu


Nyie wenyewe kero mpaka kwenye kope sema sisi hatuezi kunyamazia kero zenu while nyie mnazikusanya tu ndo mana mnakufa kwa heart attack. Payukeni kama sie muone kama mtapata heart attack
 
Bibie pole kwa yaliyokukuta japo kwa upande wa pili hatujapata kujua mapungufu yako hivyo wanajukwaa wengi wanaconclude mmeo hafai

Kwa upande wangu naomba ujishushe na kuwa kama mwanzon kabla hujawa mjamzito maana wanawake wengi wakiwa wanawazito wanajifanya kama wagonjwa wakati hiyo ni physiology tu so wengine wanakuwa na viburi, uvivu, kudeka, uchafu, maneno
mabovu n.k

Pia nenda clinic kwa usalama wa afya yako na mwanao mtarajiwa
 
we mwamishe mtandao tu bila kubadili namba utaona vyenye atajirudii adi atm atakupaa€mpe udamvu udamvu
 
1. Mwombe Mungu sana ili aikoe ndoa yenu maana hiyo si dalili nzuri na haifai kwa wawili kama ninyi.
2.Jishushe..(submission).
3.Jichunguze kama kuna mambo ambayo unatenda na yeye hayapendi..kama ukigundua hii inaweza rejesha upendo wenu wa awali.
4.Pole..ichukulie kama changamoto ya ndoa.
 
Me naboreka habari ya kutumana vitu visivyo na msingi, yaani unatuma mtu mzima kama vile amekuwa mtoto
 
Habarini wapendwa wa JF

Ni matumaini yangu wote ni wazima.
Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa kubembeleza pale nnapochuniwa.

Nina ujauzito wa miezi sita kasoro ila huyu mwenzangu hajali hata, na ni mimba yangu ya kwanza.nateseka na haya mateso najiona kama mpweke katika ukuzaji huu wa mimba na mtu alienichunia bila sababu ya msingi. Kun wakati ninakuwa na hamu ya chakula fulani au kinywaji fulani, zamani nilikua namuomba aniletee kama nkiwa na hamu ya msos wowote na alikua analeta,kadri siku zinavyokwenda ndo hamu yangu ya kula inaongezeka nikawa namwomba alete vitu analeta kama ice cream, juice,matunda n.k
Ghafla baada ya mda kupita akaanza kunijib vbaya kila ntakachiongea naye, mara aseme namzeesha,akaacha kuniletea vyakula ninavyovipenda na kunichunia juu.
Sijui ni nn kimetokea ila inaniuma kuona nachuniwa na hana time na mm.nilishamwomba sana katika hichi kipindi cha ujauzito anijali tu na si kingine ila hana time na mm kabisa. Kwenda clinic mpka leo sijaenda nikimwomba twende ni maneno juu.
Ndugu zanguni nishaurini maana nina stress mpka wakati mwingine najuta.
Mimba yako ndo inamfanya awe hivyo,ukijifungua yataisha hayo...............
 
Back
Top Bottom