Mume wangu amenichunia

Mume wangu amenichunia

Nenda Clinic, uzazi ni jambo zito sana,huwezi kujua utatoka damu kiasi gani so nenda kafanye vipimo ili kama ni chache wakupe dawa ubalance. Pia mtoto anatakiwa ageuzwe. Mimi kwa uzoefu wangu clinic ni muhimu mno.

Kuhusu Mabadiliko ya mumeo mimi nadhani ni kutokana na hali yako, unajua Mwanamke mjamzito kuishi nae kunataka kujishusha sana na kujitoa ufahamu. Ila ukishamjulia tu wala hakupi taabu. Hivyo huyu Mzazi mwenzio inabidi umkutanishe na mtu anaemuheshimu sana ili amsaidie mawazo jinsi ya kwenda sawa na wewe.
nimekumbuka ujauzito wa kwanza wa dada angu alikuja kuumalizia nyumbani!!! Yaani alituchukia nyumba nzima... Ukiingia kwenye 18 zake unakula matusi mpaka usahau unaitwa nani. Sasa naimagine ndo mtu wa hivyo unaishi nae peke yako tu... Huna ata wakushare nae hiyo chuki!
Wanaume mna kazi kweli kuvumilia hicho kipindi! Ndo hapo level ya upendo inapopimwa
 
Pole saana lakini Kua mstahamilivu kwasbb hii kitu inatokea.
Yaani machungu ya mimba na maudhi yake pamoja na kisraani zimemfata mmeo
Kwamfano kuna una uzito inatokea mwanamke anamchukia saana mmeo.
Sasa basi kwa ushauri wangu Kua mstahamilivu maumivu yako hapo yapo kwake
Na hizo ni dalili za kujifungua MTT wa kike
 
Na mm niliwaza hvyo hvyo. Hapo ni kama anakubebelea mzigo. Yawezekana ghubu kisirani na hasira ungekuwa nazo wewe. Na matokeo yake angeweza kupotea kabisa. Nadhani umenielewa hapo. Mshukuru Mungu nenda naye kwa upole muda utafika atabadilika. Experience yangu ilikuwa opposite. Wife alikuwa hashikiki...hasira sana na alikuwa too demanding. Ukiwa mvulana waweza kushindwa. Ilikuwa mimba ya kwanza but nilijitahidi kuwa mvumilivu karibu miezi sita ya kwanza ndipo akawa sawa. Ili nilimpa upendo wote sikupunguza hata kidogo, na baadae alinishukuru sana. Jambo jema alikuwa na ghubu lakini huduma ile muhimu alikuwa hana shida. Hahaaa. Experiences hizi kila mtu anakutana nazo kwa jinsi yake dada. Kuwa mvumilivu yote yatapita. La msingi akili yako iwe kwenye kutunza ndoa yako zaidi maana hapo ndio sisi wanaume ukitukosea tunahsi kama tumepewa mwanya wa kuchepuka. Mwenyezi Mungu awasimamie.
 
Pole saana lakini Kua mstahamilivu kwasbb hii kitu inatokea.
Yaani machungu ya mimba na maudhi yake pamoja na kisraani zimemfata mmeo
Kwamfano kuna una uzito inatokea mwanamke anamchukia saana mmeo.
Sasa basi kwa ushauri wangu Kua mstahamilivu maumivu yako hapo yapo kwake
Na hizo ni dalili za kujifungua MTT wa kike
Kwel.
 
Kauli mbiu siku ya wa.na.w.ake D.un.ia.ni.

*Mama Ongea na Mw.ana.o atoe Che.ti*
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Duh mimi wife ana mimba ya miezi mitatu tu ila hayo majibu nayopewa na mawasiliano yalivyo ya ukakasi nimeamini ndoa inahitaji uvumilivu kuna siku nimemwandikia sms ya kumuacha (sikumaanisha) yeye kanijibu simply nimuache ikabidi nirudi mwenyewe loh
 
may b tabia za mimba zmehamia kwa mumeo, jtahd uishi maisha uyapendayo kwa kadili ya uwezo wako na hali inavyoruhusu!
 
Pole sana!!!
Yaani hujaenda clinic unamsubiri huyo gubu lipungue? Jijali mwenyewe mama akati unamsubiri, ikitokea complocations za uzazi ni wewe utakae umia. Kuna watu wanapewa mimba na kukimbiwa lakinj wanajifungua vizuri.
Kama umejaribu kuunguza tatizo ni nini na hakwambii usijipe stress zaidi. We fanya yako... Ukisikia hamu ya embe, vaa viatu nenda gengeni kanunue embe lako...
Endelea kujitunza akiona humpi attention ata kwa wiki moja akili itastuka kidogo. Hali ikiendelea kamripoti kwa wazee.
usimfundishe mwenzio uhuni
 
Pole ila wanawake sometimes mnaboa jamani, hamueleweki mnataka nini
 
Habarini wapendwa wa JF

Ni matumaini yangu wote ni wazima.
Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa kubembeleza pale nnapochuniwa.

Nina ujauzito wa miezi sita kasoro ila huyu mwenzangu hajali hata, na ni mimba yangu ya kwanza.nateseka na haya mateso najiona kama mpweke katika ukuzaji huu wa mimba na mtu alienichunia bila sababu ya msingi. Kun wakati ninakuwa na hamu ya chakula fulani au kinywaji fulani, zamani nilikua namuomba aniletee kama nkiwa na hamu ya msos wowote na alikua analeta,kadri siku zinavyokwenda ndo hamu yangu ya kula inaongezeka nikawa namwomba alete vitu analeta kama ice cream, juice,matunda n.k
Ghafla baada ya mda kupita akaanza kunijib vbaya kila ntakachiongea naye, mara aseme namzeesha,akaacha kuniletea vyakula ninavyovipenda na kunichunia juu.
Sijui ni nn kimetokea ila inaniuma kuona nachuniwa na hana time na mm.nilishamwomba sana katika hichi kipindi cha ujauzito anijali tu na si kingine ila hana time na mm kabisa. Kwenda clinic mpka leo sijaenda nikimwomba twende ni maneno juu.
Ndugu zanguni nishaurini maana nina stress mpka wakati mwingine najuta.
Have you analyzd ur weaknesses?
Usikute ulimzingua ujue mana na nyie mkiwa na mimba mna shida sana.
Jitathmini kwanza mama ake
 
Klinik paka muende wote???? Kama halet unachotaka kwanini usinunue mwenyewe??? Hakusemeshi nawewe humsemeshi daah

Wewe ndio utakae umia....kwa mashindano yasio ya msingi. Pamoja na Hali ya ujauzito usikubali hisia za ujauzito zikuteke kwa kutegema mwenzako ata feel sympathy hiyo si kwa wanaume wote.

Work up, acha kushindana nenda klinik, nunua na kula unachotaka as long hakiathiri mimba, ongea nae....muombee gegedo.. maisha yaendeleee
 
Na nyie mkiwa na mimba mpunguze Gubu basi..Hivi hauwezi ukawa mjamzito na still ukawa romantic..Mana wengine mkiwa wajawazito nyumba inakuwa jehanamu... Mtu unakuwa huna maneno mazuri kwa mumeo,Halafu unadeka hadi unapitiliza..Usumbufu ndo usiseme..Upo rafu 24/7...Sio kila mwanaume anaweza kustahimili hiyo hali..
 
Klinik paka muende wote???? Kama halet unachotaka kwanini usinunue mwenyewe??? Hakusemeshi nawewe humsemeshi daah

Wewe ndio utakae umia....kwa mashindano yasio ya msingi. Pamoja na Hali ya ujauzito usikubali hisia za ujauzito zikuteke kwa kutegema mwenzako ata feel sympathy hiyo si kwa wanaume wote.

Work up, acha kushindana nenda klinik, nunua na kula unachotaka as long hakiathiri mimba, ongea nae....muombee gegedo.. maisha yaendeleee
 
Punguza tu kudeka kidogo kisha jishushe chukua nafasi yako tambua kuwa huyo ni mumewako mpe heshima yake na umuweke ktk nafasi yake naamini ukifanikisha kuyafanya hayo mambo yatarudi kama zamani
 
Jamani tullio ndan ya ndoa tunafahamu. Mimi natamani hata kuachana. Sometimes mwanamke anaona anaweza kuwa juu ya mwanamme. Hata mimi leo ni siku ya 5,siongei na mke wangu. Tatizo ndo hilo kutaka kunipanda kichwani. Sitaruhusu hiyo Hali. Mimi siyo bwege. Wanawake badilikeni. Mnasababisha sana wanaume kuwa na maamuzi mbadala yaliyo mengi vichwani meeting.
 
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg

Mwanaume mwenyewe ndiye huyo hapo?
 
Back
Top Bottom