Katika kipindi cha ujauzito hali ya mwanamke kumchukia mume ni jambo lililozoeleka katika Jamii lkn wapo wanaume pia wanaowachukia wake zao kwenye kipindi hiki, hii huambatana na hali inayowapata kwa mfano kutapika mara kwa mara, kuchagua vyakula n.k, so inawezekana mume wako yupo katika hali hiyo, kukaa kimya sio suluhu ya jambo hilo zungumza naye, mwonyeshe upendo, ikibidi shirikisha watu wenye hekima, omba kwa imani yako, kuhusu clinic huhitaji kushauriwa hilo ni jambo la lazima kwa ajili ya afya yako na mtoto. Tafakari chukua hatua.