souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,102
tatizo na nyie mkishaanza kuitwa mama K basi madeko huzidi coz mpaka anakuambia unamzeesha manake utakuwa unamtuma sana mara ice cream, mara embe, mara miguu ya kuku, mara papai jeusi, mara supu ya kitimoto na hapo ndo mikausho inapoanza sasa
