Mume wa mtu

Mume wa mtu

......Duuh! Mwanangu akifika umri wa kwenda chuo sijui atakuwa Malaya na omba omba hivi hivi?. Namuomba Mungu amuepushe na janga hili la watoto wa chuo wa aina hii?
 
niliambiwa wanafunzi wa udsm hall 3 wanajiuza nikawa siamini haya sasa.
 
Huoni hatia kula bila kulipa?

........Mkuu, huwa hawasemagi vyote hao!. Unadhani kwa jinsi jamaa alivyompata kiulaini namna ile atakuwa ameshindwa kumla kweli?

Amejaribu ku-skip baadhi ya "scene" katika movie yake ili ilete ladha aliyokusudia.
 
........Mkuu, huwa hawasemagi vyote hao!. Unadhani kwa jinsi jamaa alivyompata kiulaini namna ile atakuwa ameshindwa kumla kweli?

Amejaribu ku-skip baadhi ya "scene" katika movie yake ili ilete ladha aliyokusudia.

Nimekupata mkuu.
Nilikuwa najaribu kupiga picha naona haiwezekani. Kwa zama hizi ule vitu vya watu halafu usitoe!!?
 
kwani ikiwa ameliwa angeandika hapa mngemfabya nini?
tatizo hizi fake ids mnaona kama mtu huyu hapa!
angalieni morals za hii story!chaaaa jamani angekyaa amempa kwa mfano angesena ingemuathiri nini?
kipi cha ajabu hapo?
mume wa mtu kwake no na kweli ni.no!
mwingine angekula kichwa kweli ndio, sio yeye sasa!
 
hongera mamy kwa uamuz wako wa busara. hakuna kitu kibaya kama kumfanya ntu mwingne ateseke. mi nilishajiapiza mume wa mtu kwabgu sumu ba atakaemchukua wangu na alaaniwe.
 
Mtoa post we fa-la- sana,kwanini ustumie lugha moja,au hako ka kingereza kako kanakunyegesha sana?

afadhali mkuu umemuambia wewe kaniboa sana mpuuzi huyu kama ni kingereza basi aongee kingereza sio kutuletea upashkunata wake mfyuuuuuuuuuu!
 
Jamani mi na Mme Wa mtu sumu, ukintongoza its better not to mention if you are married, I feel bad pale mke anavyoteseka only because of me

Once upon a time I had this man alintokea bana, siku moja natoka rum on my way to class Niko na earphones listenn gud music without noticn kuna gari nyuma yangu, the guy akagomba sana.. Watch out next tym utagongwa.. Mara ee Mara oooh!! He was cute tho, nkamtel am sorry n al n al nkawa mpole... Siakanizimikia bana.. He apologized too fo bn hash... Akaniomba digits, nikamgea.. Chat na kuchat.. 2kawa gud friends... One day akaniask out nkakubali, tukahv few drinks.. We had fun kwa kweli.. Late nyts nkarud rum... He used to call me like most of the time.. Outings mpaka late nights, Watsap chattn kwa sana tuu... Havn lunch 2getha since alikua ana work near my uni... For two month things remained that way..

One day yl sayn gud bye 2each otha yl dropn me in my place ikahappen tukakiss, then relationship ikaanza hapo... Goin out havn fun but ha2kawahi kucheza mechi until four months passed... Nikawa nikiomba visenti napewa kama kawa tena virefu, kila jumamosi ilikuwa lazima aniletee ma2miz.. Hadi ada aliwahi kunipa but kitty mpenda kupendeza nkanulia viwalo freessssh... Frm him I bought myself a lot of stuffs without knwn anytn.. One fact abt him he was too busy, tunameet only alhamisi ijumaa and jumamosi.. Jumapili never, hyo siku hatapokea Simu anadai yuko gym au site, kumbeee... Sikuipenda hii hali but nkazoea..

Then one day nkamuomba 4kilo nlimdanganya nadaiwa rent, at the same tym we planned to meet and this time I was ready to have a fair game with him.. Sasa kila nikimuambia kuhusu anapokaa anapotezea.. Ah na mi nkawa napotezea nkikumbuka nauliza lakini wapi hola.. I Never get to go through his phone bcoz it had patterns all over th messagin apps.. Ukiuliza anapotezea.. But Always alikua ananiambia I have something to tell you then inahappen tunapotezea.. Basi we planned on weekend tutaspend pamoja.. I told him niende kwake but akasema it has to be special.. Okay no P... Nkamtell utanifata rum but ha!!
 
......Duuh! Mwanangu akifika umri wa kwenda chuo sijui atakuwa Malaya na omba omba hivi hivi?. Namuomba Mungu amuepushe na janga hili la watoto wa chuo wa aina hii?

Hata huko chuo anaweza asifike labda umuwahishe kuanza huduma ya uzazi wa mpango.
 
Hakuna mwanaume siku hizi wa kuhudumia miezi yote hiyo bila kupiga, umekuwa mama yake! Mademu wenyewe loose siku hizi, unapiga siku hiyo hiyo mliyokutana. Kamba hii
 
Ok course you are lacking something upstairs, hope you know that by now
 
Back
Top Bottom