Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 554
Mi nakutaka wewe ni-inbox tuwasiliane, am single and cool as you may need!
Kuomba lazima.. Nife na shida wakati mpenz alikua ana kazi nzuri na nilipewa ruhsa nkiwa na shida niseme!! Kama angekua mwanafunzi mwenzangu sawa
Kumbe una uwezo wa kuja kwa staili mpya ya namna hiyo mpaka kujifanya mwanachuo? Anyway
hongera una kipaji cha uandishi wa stori kwa ajili ya vijana walio chuoni.
k
Hadithi njoo.... uongo njoo utam kolea!!!! mtoto wa chuo urudishe kilo nne Bongo, hapo mostly ni kupiga game na kujikaza kama hujaziona text
Mimi ningependa kujua uko wapi na status yako ikoje kwa sasa!Nlikua nazo nyingii.. Coz alikua ananipa... Ungeona text za wife wake ungefanya ivyo tu