Mume wa mtu

Mume wa mtu

jibu lako liko wazi.

Hiyo nilikua namuondoa hofu mheshimiwa pale juu sababu nilipata mawazo kama yake pia my cute little sis yuko college katikati ya mji wa Dsm kwa hiyo thread kama hizi zinaamsha pressure hakyana'n
 
Boobookity bhana mbona hujaweka miuno sasa, yaaani movie imeisha patam sana aisee pale pale karibia na miuno natamani ije part two yake.
 
......Aha ha ha ha!! Kwahiyo akianza huduma ya uzazi wa mpango hatakuwa omba omba au umalaya hutokana na wanafunzi wa vyuo kukosa huduma ya uzazi wa mpango? very funny!!.

Nilitegemea kuona majibu ya aina hiyo kutokana na kutaja shughuli wa watu (Uma-laya), imekugusa!!

Ila asante kwa ushauri.

Kumbe una kichwa kigumu hivyo? Huyo mwanao hata akimaliza kidato cha nne utoe sada ya shukurani, utaishia hivyo hivyo kuwatukana wanachuo.
Na kuhusu umalaya kwangu inategemea na tafsiri yako ila anaenihusu anajua kuwa mkewe ni zaidi ya malaya.
Una lingine??
 
We pia kwanini usitumie lugha moja "post" ni kihindi icho,,,kila mtu ana uhuru wakuandika lugha yeyote ilimradi anauhakika inasomeka na kueleweka na wengi,,,kama vp ndo uchkue ela ya tuition

hahahahaa
uuuuuiii
mbavu zangu mie!
 
kwa nnavoona wewe ukipata wa hivyo haumwachii ng'oo
 
Kumbe una kichwa kigumu hivyo? Huyo mwanao hata akimaliza kidato cha nne utoe sada ya shukurani, utaishia hivyo hivyo kuwatukana wanachuo.
Na kuhusu umalaya kwangu inategemea na tafsiri yako ila anaenihusu anajua kuwa mkewe ni zaidi ya malaya.
Una lingine??

.......Aha ha ha!! Wala hujakosea kichwa changu ni kigumu mno, sina uhakika wewe mwenye kichwa laini ni binadamu wa aina gani. Usi-panic Mdada na samahani sana kama nimekukwaza.

Angalia vizuri kwenye comment yangu wala sijasema kuwa wewe ni Malaya, labda kama umeamua kutafsiri hivyo.

Sihitaji mtoto wangu amalize kidato cha nne bali nataka aelimike maana siku hizi hata hao waliofika Chuo wengi wao hiyo elimu haiwasaidii sana na mifano halisi ipo.

Sina jingine dada!.
 
Back
Top Bottom