Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,548
Last edited by a moderator:
Uongo Madame S? Sema mwenyewe.
Bongo bana kurudisha hela laki nne n ngum sana kingine mwanafunzi wa chuo mpenda kupendeza ha ha ha labda mwanafunzi toleo jipya stor yA upande mmoja hii ninataman nimsikie na huyo baba jamani
Hapo umenena kweli. Hata angekuwa amekuja mjini jana laki nne harudishi asee. Mleta mada katuchenga kitu hapa. Na game alimegwa vizuri tu.
H ha ha me sikushuhudia lakini
Ha ha ha...umekimbia kesi. Usijali ntakuwekea wakili, hutofungwa.
Hadithi njoo.... uongo njoo utam kolea!!!! mtoto wa chuo urudishe kilo nne Bongo, hapo mostly ni kupiga game na kujikaza kama hujaziona text
Girl, as a married woman am gonna tell you one thing.
The good you do, you do for your own self. On the same note, the bad that emanates from you will harm no one but you.
Pesa sio tatizo kwangu.
Niache nikuhudumie mwenyewe and I know how to take care and spoil my woman. As a matter of fact I take pride in providing to my woman lakini ukianza mizinga na kuendekeza njaa that tells me you are cheap! A 'hoe!
......Duuh! Mwanangu akifika umri wa kwenda chuo sijui atakuwa Malaya na omba omba hivi hivi?. Namuomba Mungu amuepushe na janga hili la watoto wa chuo wa aina hii?
Hahha si ndo hapo sasa... huyu anajisexsha tu hapaLike laki nane kwako binamu wa pili... watoto wa chuo wanajali kama huyu mume wa mtu au wa ngedere toka liiiiini??

afadhali mkuu umemuambia wewe kaniboa sana mpuuzi huyu kama ni kingereza basi aongee kingereza sio kutuletea upashkunata wake mfyuuuuuuuuuu!
hii stori nzuri ila kuna vichumvi kwa mbaaaaali.....
Sio watoto wa chuo wote ni malaya wako wanaojua walichofata shule na pamoja na vishawishi vingi vinavyowazunguka bado wanaishi maisha yao halisi.. kubwa " mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokua mzee"