Mume wa mtu

Mume wa mtu

boobookitty

Nuke watoto wa vyuo vya mjini mnavyopenda kushindana na wafanyakazi urudishe pesa thubutu.... Kwani unasoma Ifm mwaka wa ngapi??
 
Last edited by a moderator:
Kama hamniamini basi... Mi sio mtunzi naandika kilichopo katika life langu.. Nataka tu kushare somtin new to ppo
 
Aiseee kiwavi alipite shamban bila ya kutanfuna mazao yote mpka shamba liiesheee! usiniambie wew ni mtoto wa baba paroko?wewe labda uko below 18 mana ndo mnakuwa na roho ya kiuhuruma zaidi lakini ukishapita hiyo miaka lol huwa roho zenu zinaingiliwa na pepo la pesa mtafikiri mmezaliwa benki nyie.....tena ndo uko UN kuziiiiii


 
Mtoa post we fa-la- sana,kwanini ustumie lugha moja,au hako ka kingereza kako kanakunyegesha sana?

We pia kwanini usitumie lugha moja "post" ni kihindi icho,,,kila mtu ana uhuru wakuandika lugha yeyote ilimradi anauhakika inasomeka na kueleweka na wengi,,,kama vp ndo uchkue ela ya tuition
 
Pole sana. Ila ujue dunia hiana huruma. Akija kukamatwa wa kwako watu wanatafuna tu.
 
Kuna mwanaume aliandika kua mpenzi wake anamuhonga, wanaume walijibu kwa upoleee!

Mibinafsi sana mijanaume ya humu.
 
Ona mume wa mtu kanipenda,
nampenda kumuacha sitaweza,
japo maswali mengi najiuliza,
Hana fyucha nami ninawaza"
 
Wanaume muwe wakweli, kama umeoa be honest sio kudanganya mtu anaingia kwenye relation ana expectations za kutosha kumbe unampotezea muda tu tayari una familia. Badilikeni kwa hili, ndo ujumbe aliotaka kuufikisha huyu dada. Wanaume wengi wanaongozwa na tamaa, kama bado una macho juu juu usikimbilie kuoa, baadaye uanze kulaghai wengine.
 
Nimedharau the way ulivyokua simple kuingia kwenye uhusiano na ulivyokua una omba omba vipesa.
All in all ur a good story writer

Mahusiano hayana kanuni kwamba lazima mkutana kanisani au msibani.
 
Duh mtoto wa kike jasiri sana wewe umemuokoa mwanamke mwenzio...naanza kufuta imani yangu juu ya ule msemo wanawake hawapendani,
Zawadi yako kwenye sirikali yangu utakuwa first rady
 
Hadithi njoo.... uongo njoo utam kolea!!!! mtoto wa chuo urudishe kilo nne Bongo, hapo mostly ni kupiga game na kujikaza kama hujaziona text

I thought mi ndo nawaza tu ivo.Nonsense kabisa.Bint wa chuo urudishe pesa?! Ok movie nzur lakin inaitwaje?
 
kama hii story ni ya kweli, sipati picha huyo mwanaume alivyofrustrate baada ya kuzinguliwa. Bonge la Aibu. ila mleta uzi usijione mjanja kwa uliyomfanyia. kuna siku yatakukuta ambapo mzigo lazma utamegwa tu
 
Back
Top Bottom