Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

Habari za weekend wakuu
Nimekuja kwenu na I'd mpya maana naona mpaka aibu, kueleza na isitoshe nipo humu ndani Nina marafik najuana nao na mashemeji zangu pia wapo na tunajuana I'd.

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja muheza tanga alikua kikazi namm nilikua nipo pale kikazi tulikua marafiki SNA, nikajikuta nampenda SNA ila yy alikua na mahusiano yke.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda SNA akasema hata yeye anahisia na mm ila anamchumbaake anamsomesha so hawez kumuacha. Basi niliumia lakin nilimuelewa tukabak kuwa marafik

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr, ananipenda na wote tunahofu ya Mungu Hathaway kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa muheza nayy mwaka juzi akaoa, lakin ndoa yao haina Aman wanagombana kila Siku mwaka Jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengena Basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana PC mpaka za uchi nikajikuta nampenda SNA kuliko hata mume wangu, na hapo hatujawah kusex hata Siku moja.

Mwaka Jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa, coz hata mm pia Nina mume so sio big inshu akanuambia unajua nn V, tulia kwenye ndoa yko Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa aman acha mm nipambane na hali yangu, nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakin mumeo akija kuona chat zetu atakuua.

Niliumia nikamwambia okey lakin umeniteka akili yangu naumia SNA juu yako, nataman tukutane hata Siku moja tupeane raha alafu tuachane akasema sawa, ila mawasiliano na mm kapunguza anaogopa mm make wa MTU na mm nimeshadata kwake nifanyaje jaman.

Cjawah kuchepuka hata Siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuaje ananiamini SNA.

Yule jamaaangu wa muheza nampenda SNA tena SNA nayy Ananipenda lakin naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri



Sent using Jamii Forums mobile app
Kubari tu kuwa wewe ni mke wa mtu anaekupenda ukiendekeza hisia utaharibu ndoa yako na utaanza kucheza sebene la maisha lisilo na mwisho mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushinda na kukesha, hadi umejua nashinda na kukesha JF, basi una kazi sista. Ila kwa vile umeshasema kuwa una-date mume wa mwanamke mwenzako na unakaribia kuwa mama, means unapitia changamoto niliyotaja hapo juu(matatizo ya kimahusiano), wanaipitia wengi, huenda hata mimi nikaipitia siku moja. I'm human after all, lazima nipitie changamoto, ila kwa huo ushauri umemdanganya mleta mada, ataingia chaka...
Find something useful to do baba ushauri,mwanaume hasifiwi kujitia baba ushauri Bali kazi na hela,eti ohh una tatizo gani nikusaidie,mwenzio ni jobless huyo, mtafutie kazi basi
Hahahah keyboard warrior
Am out


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hofu ya Mungu ipo hivyo basi na mie ninayo tena ya kiwango cha phd
 
Find something useful to do baba ushauri,mwanaume hasifiwi kujitia baba ushauri Bali kazi na hela,eti ohh una tatizo gani nikusaidie,mwenzio ni jobless huyo, mtafutie kazi basi
Hahahah keyboard warrior
Am out


Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee!!
Kwa hiyo nifanye kazi 24/7 nisiwe na mda wa refreshment? Sasa hapo wapi nimekuwa "keyboard warrior"?

Anyway, you're entitled to your opinion mkuu. Zamani ndio nilipenda malumbano sana..
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kuna vitu vingine hata si vyakuomba ushauri,unaabisha wanawake wenzako,wanaume watuone punguani

Hata aiingii akilini,hivi kweli mlikuwa marafiki ukamtamkia unampenda akakuambia anamchumba,hamjawahi sex bado ukampenda hivyo hivyo

Wakati mi mwanaume akinijibu kama hivyo nashukuru kuujua ukweli kuwa ana mtu wake kupenda naacha hapohapo,nabaki kuheshimu mahusiano ya MTU,afu siwezi kushare huku najua.

Tuachane na hayo umeolewa mnaishi kwa amani,bado unatafutana na huyo rafiki mnarushiana picha za uchi serious??!!
Afu zikija kuvuja utasema shetani alikupitia,badilika unajua kuna mambo mengine hata shetani atawakana

So sad,namuonea huruma Huyo mume alokuweka ndani afu unakipiga picha kitumbua chake unamtumia mwanaume mwingine si ajabu Mr katoka kukishave mwenyewe ajionee kinavutia

Aisee ushauri wangu badilika,mapepo ya ngono na usaliti mnayataka wenyewe kwa kutokulidhika na mlivyo navyo siku vikipotea ndo mtajua thamani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wote wangekuwa kama wewe, Maisha yangekuwa salama sana. Kama umeolewa mwenyezi mungu amlinde mumeo na fitna. Kama hujaolewa mwenyemungu akuongoze na akujaalie kupata mume bora.
Kama una watoto busara zako uwarithishe wanao. Kama hujazaa Upate watoto wachamungu kupitia njia sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,

Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over

Mnitukane lakin vaen kiatu changu

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kama unaomba ushauri ukiwa tahari na ushauri wako kichwani,vile unataka tu kuhalalisha unachofikiri,
ndoa na iheshimiwe na watu wote,usitamani kua chanzo cha uharibifu kwenye ndoa ya mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,

Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over

Mnitukane lakin vaen kiatu changu

Sent using Jamii Forums mobile app
!!!

Namsikitikia sana mumeo,ndoa yake soon inaenda kupata mtihani mkubwa sana atajuta kukufahamu na wewe kama mimi ndo ningekuwa mumeo tungegawana viungo i mean wewe ubaki na kiwiliwili mimi nibaki na kichwa chako.

Wanaume Mungu tuokoe na balaa hili kwani bila nguvu zako hatuwezi kulihimili,mtihani sana that's why nasema vijana oweni wamama wa nyumbani maisha ya ndoa yatawapenda hawa wanaozulula zurura maofisini na vikauli mbiu kwamba ninafanya kazi sijui takataka gani ukiwaokota changamoto ni nyingi kuliko yule utakayempelekea wewe chakula.



Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
We hufanyi uasherati? Mshauri afanye cha maana. Mbinguni nahisi hata wewe huendi
Tunaanza kujichuja tena wanaoenda na wasionda mbinguni, wewe huendi mbinguni kabisa subiri hukumu yako
 
Back
Top Bottom