Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

Wewe huna pepo la ngono wala nini. Nijibu maswali yafuatayo nikupe ushauri
1. Uliolewa ukiwa na umri gani?
2. Wewe na mume wako mmepishana umri gani?
3. Kabla ya kuolewa, uliwahi kuishi na mwanaume kinyumba?
4. Mlidumu mda gani wewe na mumeo tangu kufahamiana mpaka kuoana?

Nijibu hayo maswali ntakuambia tatizo liko wapi.

Nimeolewa nikiwa na miaka 22
Tumepishana na Mr, miaka8
Sijwah kuishi na mwanaume tofauti na Mr,
Uchumba wetu umedumu mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend wakuu

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema hata yeye ana hisia na mimi ila ana mchumba wake anamsomesha so hawezi kumuacha. Basi niliumia lakini nilimuelewa tukabaki kuwa marafiki.

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr ananipenda na wote tuna hofu ya Mungu hatujawahi kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa Muheza naye mwaka juzi akaoa, lakini ndoa yao haina amani wanagombana kila siku.

Mwaka jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengana basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana picha mpaka za uchi nikajikuta nampenda sana kuliko hata mume wangu na hapo hatujawahi kusex hata siku moja.

Mwaka jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa sababu hata mimi pia nina mume so sio big inshu.

Akaniambia, "Unajua nini V, tulia kwenye ndoa yako Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa amani acha mm nipambane na hali yangu. Nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakini mumeo akija kuona chat zetu atakuua."

Niliumia nikamwambia okey lakini umeniteka akili yangu naumia sana juu yako, natamani tukutane hata siku moja tupeane raha halafu tuachane akasema sawa ila mawasiliano na mimi kapunguza anaogopa mke wa mtu na mimi nimeshadata kwake.

Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.

Yule jamaa wa Muheza nampenda sana tena sana na yeye ananipenda lakini naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri, nifanyeje?



Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ni mafupi mdada,achana na mumeo,olewa na huyo kipenzi chako,lakini kabla haujafanya hivyo,fikiria ni watu wangapi mtavuluga maisha yao kwa uamuzi wenu,mumeo,watoto wako,mke na watoto wa kipenzi chako wa muheza,ndugu na jamaa wa pande zote mbili,
Kama mumeo umemchoka bora uende tu kwa mpenzio wa muheza,kuriko kuishi nae kinafiki huku Mali zake unazitumia na huyo mpenzio wa muheza,
Ni maisha yako,ila watu kama nyinyi ndio mnasababisha watu wanauana,ningekujua,wewe ni shaba tu,maana umeonesha ubinafsi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo swala ni mo moja wewe toa nunu hiyo kwa chalii ya muheza sio unaleta mboyoyo nyiingi
 
Wanawake ni mafala sana, kwahiyo anakupenda sana sababu ya kuchat tu nawewe wakati wa shida zake? Yani ningekujua ningemwwambia mumeo kwa huu ufala unaosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hofu ya Mungu halafu unaogopa kuchepuka halafu unaomba ushauri, unataka ushauri gani sasa? Wakuambiwa chepuka ama, mimi sikushauri uchepuke kwanza mpotezee kabisa huyo jamaa unavyozidi kuchat nae ndiyo hali ya kutaka kuchepuka inakunyemelea, jiheshimu, heshimu ndoa yako, miheshimu mumeo.
Anahofu ya mungu harafu alimuomba jamaa wachepuke mara moja tu harafu basi. Aseme tu yeye anataka kutoa mbunye Mungu asimuingize humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachokifanya wewe ni utoto,hujielewi! Kuna muda wa kusema sasa basiii,nina familia yangu na ndio maisha yangu mambo ya kipumbavu siyataki.Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke usiokuwa na madhara.Kwa afya ya watoto wako,mume wako na maisha yako tuliza hizo nyeg zinazokusumbua
 
Maisha ni mafupi mdada,achana na mumeo,olewa na huyo kipenzi chako,lakini kabla haujafanya hivyo,fikiria ni watu wangapi mtavuluga maisha yao kwa uamuzi wenu,mumeo,watoto wako,mke na watoto wa kipenzi chako wa muheza,ndugu na jamaa wa pande zote mbili,
Kama mumeo umemchoka bora uende tu kwa mpenzio wa muheza,kuriko kuishi nae kinafiki huku Mali zake unazitumia na huyo mpenzio wa muheza,
Ni maisha yako,ila watu kama nyinyi ndio mnasababisha watu wanauana,ningekujua,wewe ni shaba tu,maana umeonesha ubinafsi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mleta mada anafikiri maisha ya ndoa ni kuingiza na kutoa tu
 
Back
Top Bottom