FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Sijui atakuwa Teamo
Asprin
Kaizer
au Kimey + Roya Roy :hungry:
Huyu mwanaume loh
Asprin
Kaizer
au Kimey + Roya Roy :hungry:
Huyu mwanaume loh
Mwenyewe kasema huyo aliye naye wala si mumewe. Sasa cha kujibana kitu gani? Jiachie shostyDa Sophy ushauri wako loh
Da Sophy is back na ushauri kabambe! hehehe
kaizer habari ndo hiyo
Nyani Ngabu kanikomalia kweli kweli kisa niligawa namba ya simu maskini mie. this got me thinking wat is it with namba za simu??
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
Ukishikwa shikamana shosty