Kama kweli huna hisia naye basi usimpe, akichoka ataacha mwenyewe. Lakini kama ana bidii naamini uwezekano wa kuja kupata upo. Atakuganda kila siku hadi kuna siku utalegeza msimamo (nahisi hiki ndicho unachoogopa ndio maana unaomba ushauri). Ukijijua uko hivyo (kwamba ukichoka kubana mwishowe utaachia), basi usiwe unawapa watu access za kihivyo kama kuwapa namba za simu etc. Kama una uhakika una uwezo wa kuendelea kubana nonstop basi endelea hivyo.