JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 506
- Thread starter
- #21
Ndio umeamua kuja kunianika hapa? Ole wangu!!
Sasa nifanyeje kama huelewi kila nachokueleza??
Muonjeshe mara moja tu, kisha mwambie kuwa hawezi kazi.
Kuonjesha hiyo haipo kabisa wala sitathubutu
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
We nawe ushauri wako huo mmmh unataka kunipoteza mwana wa mwenzio.