malisak
Platinum Member
- Mar 16, 2006
- 739
- 852
Hommie ulijueaje huyu kama ni she?
Ahaa kumbe? Haya tuambie maeksipiriensi yako ya kuchuna waume za watu waliokung'ang'ania!:A S angry:
kwanza mwambie NATAKA GARI YA KUTEMBELEA aina ya HUMMER,shopping kwakua sijakuzoea bado nipeleke DUBAI ila tukishazoeana napendelea na hua nina kawaida ya kwenda UINGEREZA,CANADA AU US,pia naomba unijengee nyumba ya ghorofa 3 ili nikiachwa ninakae huko ghorofa moja na 2 nitazipangisha ili niweze kumudu maisha na kujaza mafuta ya gari pia usiache kunijazia voucher kila siku ya elfu 50 tena kwakua bado hatujazoweana nikishakuzowea utakua utakua unaniwekea laki moja ni kawaida yangu kuweka hiyo.Sasa hapo utajua mwanaume wa mtu alivyo muongo kwa vyovyote hatoweza au pengine hana uwezo kabisa wa kukugharamia japo theluthi ila atakupa porojo ooh sasa kwa mwezi huu mambo ni mengi sana ila kuanzia mwezi ujao nitaanza kutekeleza ila ungenionjesha kwanza,sasa imekua chumvi????????????????????????????.na hapo utakua umemkomesha akikuona yule atapiga no-ribder mwenyewe nyambafffffffffffff.