Mume wa Mtu ananitaka

Mume wa Mtu ananitaka

as you can see, you are still needed baba Askofu!

Acha kucheka Asprin, Something is amiss in the whole thing....:A S angry:

Nipe kamba nyingine hapo, am still connecting dots... nitakupiemu kukupa jibu...

Ila kwa sasa... Mr. Infidelator and Ms. Infidelatee.... you should seek Jesus...😛ray:...😛ray:...😛ray:

Sasa nianze na nani?? wewe??

Anyway, Jeiesi... Hebu njoo chemba tutete juu ya hii kitu... hakuna kisichowezekana kwa Mungu... Memory kadi yake iliyotunza data zako itafutika ghafla...
:tape::tape::tape:
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

pole sana.. kama mambo haya yangekuwa yanaenda kwa uelewa wa akili sijui ingekuwaje; yanapokuja masuala haya hasa mtu yakishamkolea akili nzima inatoweka:

Think of:

Clinton
Tiger Woods
n.k
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

Jaribu kumwambia wewe ni HIV+ na hupendi kuambukiza watu wengine. Akikwambia na yeye anao mwambie mguu wako mguu wake mkapime, na majibu yakitoka hapo sasa ndiyo itakuwa mwisho wa kukufuata. Maana huyu ni lazima atakuwa mvurugaji na watu wa hivyo waoga sana kupima ukimwi.

Ila na wewe uache ushambenga wa kutoa namba ya simu kama maharage ya mbeya, maji mara moja tu.
 
Duh! maneno makali jamani halafu mdomo huumba akimdanganya yeye ni HIV+ mmh! acje akapata kweli lol
 
Kama ana tabia ya kutoa simu kwa kila anayemuomba ni hiyo na majority wanaomuomba huwa wanaomba penzi na kufanikiwa basi yupo katika risk ya kuupata.

Lengo la kumwambia aseme yeye ni HIV+ ni kumjua huyu jamaa kama ni mwoga au si mwoga. Katika dunia ya sasa iliyojaa magonjwa ya kila aina kwa mtu makini huwezi kumg'ang'ania mwenzio uliyekutana naye once kwenye strarehe na kupeana namba kihivyo. Huenda huyo jamaa ameisha kata tamaa na hachukui tahadhari tena.
 
Hatujui mlikuwa mnapiga story za aina gani hadi kupelekea kupeana namba za simu. Unless huyo bwana ana tatizo la akili mtu aliyecomitted utamgundua katika maongezi. Pia upo uwezekano tatizo liko kwako hukuonyesha kuwa wewe ni mtu wa 'watu' pengine kwa hisia, maneno au kugida cha mtu.

Humtaki mwambie ukweli, anang'ang'ana na usumbufu wa simu/text mia mia ongea na provider wake wa simu, wenzake wamelizwa.
 
Nakuunga mguu NYANI , kosa ni pale unapotoa namba kwa mtu , then unaanza kulalamika kuwa anakusumbua.
 
Duh! maneno makali jamani halafu mdomo huumba akimdanganya yeye ni HIV+ mmh! acje akapata kweli lol
Upo sahihi mkuu, sioni sababu ya mtu kufikia hatua ya kujitabiria magonjwa ya hatari km hayo simply bcoz ya issue ndogo km hiyo, anapaswa tu amalizanenaye kidiplomasia zaidi.
 
Pole! ila cha msingi mueleze msimamo wako wa dhati juu ya mahusiano yako na umpendae kama ni muelewa atakuelewa, endapo kama ataendelea kuushupaza ufahamu wake basi mueleze mpenzi wako ukweli kwa msaada zaidi.
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
Mwambie mkewe, hiyo ndo dawa
 
Ukimpa papuchi tu atapotea mwenyewe huyo. sasa wewe una mpz wako halafu unampa namba mwanaume mwengine kwa lengo gani??
 
Pole! ila cha msingi mueleze msimamo wako wa dhati juu ya mahusiano yako na umpendae kama ni muelewa atakuelewa, endapo kama ataendelea kuushupaza ufahamu wake basi mueleze mpenzi wako ukweli kwa msaada zaidi.
kuna formular moja ya kimtaani inasema hivi,'ukimtongoza mwanamke hata awe mkali kiasi gani lakini akiwa anakujibu ongeza bidii utampata',mwanamke ambaye hataki kwa dhati huwa hajibu,iwe msg,simu au mazungumzo ya mdomo.pindi anaponyamaza mwanaume hushindwa kumwelewa msimamo wake na hivyo ku-surrender.
 
Na yeye JS nini kilimfanya ampe namba mwanaume mwenye mke? Na yeye hana heshima ya ndoa ya huyo mwanaume...
Kwa kizazi hiki tulichonacho ukitoa namba ya simu maana yake mtongozano umeisha na umekubali.
 
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?

hapo umenena dear,,kuna mmama mmoja nilimtaniaga mara akakubali,,,jmn nilipewa utamu sitasahau sema tuu nipo mkoani nikirudi tuu lazima nile tena,,anavojua kukalia sasa acha tuu
 
Nawewe unamtaka tu Kama una smart phone si ufanye kumblock tu Jamani mbona rahisi kabisa
 
Back
Top Bottom