Mume wa Mtu ananitaka

Mume wa Mtu ananitaka

Ngojeni niwaambie, kuna watu huku wamenitukana called me stupid some said kama si ufuska i shouldnt have given out my number and shit of that kind. na kwamba kisa nilikutana naye sehemu za starehe basi it potrayed tabia yangu.

You cant judge mtu kwa sababu alienda kupata starehe iwe bar/pub/disco au popote tu pale. that really sounds absurd......
Pia, you cant judge mtu kwa sababu of how easily she/he gave the phone number. kwa sababu unakuta mtu umempa namba yako ya simu kwa good intentions wewe huna hili wala lile lakini yeye baadae huko sijui ni shetani anakuwa kamuingilia kwenye kichwa anaanza kukuvua nguo in his/her head. You see and this is a big problem (allow me to generalize) us women face everyday.

Kuna wengine wamesema i should just give it in nimpe what the mume wa mtu wants. ndo hapo infedility comes into the picture ndo maana wengine wansema infidelity is here to stay there is no doubt about that. surely kwa mambo kama haya its here to stay.

NN my dear good friend, i didnt take you serious kule pages za nyuma si unaelewa tena mimi na wewe damu damu au sio. no hard feelings whatsoever. so is to everyone around here.

Mume wa mtu sumu tena sumu mbaya sana naeza poteza pua kama nani kasema sijui kule jina limenitoka.

Atakuwa member wa JF na amesoma points zako za jana na juzi kuwa unapenda ONS/quickie na unapenda sana SEX kwa hio labda amekuja kukutendea haki.

Hili hapa ni neno la kufanyia kazi dada yangu JS!:focus:
 
:A S 101: Dont answer his calls, never reply his texts, au mpe mpenzi wako simu apokee akikupigia. Ila siku ingine usirudie kugawa namba ya simu hovyo hovyo sawa mama?

Kuna wau hawana aibu; hiyo inaweza isimkatishe tamaa kabisa na inaweza kupelekea akatkamka uongo kwa ujumla ucjaaribu huu mchezo ni hatari
 
Mwambie asubiri kwanza uongee na mkewe kama atakubali pia na huyo mwezi wako! Kwanza kwa nini wewe na huyo mwezi wako hamjafunga ndoa??
 
jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. Ananitaka kimapenzi. Nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. Haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

akiendelea kung'ang'ana mchune hakutaki anakutamani mwongo anataka umpe papuchi akumwage aendelee na mkewe tahayuri ibakie kwako.
 
Sasa JS
mbona hutoi feedback au na wewe umeamua kumtaka? katika usharui niliotoa nilijitolea kuwa "mshikaji wa kusingiziwa" unipe number ya hilo jibaba nizime mashambulizi yake.

Toa feedback itawasadia na wadada zetu wengine wataokumbwa na dhoruba kama lako.

Lakini kama umeamua kumaliza kimya kimya sawa .
 
Nakushauri umkubali. Kwa kuwa umeona hamthamini na kumheshimu mke wake na wewe ujue itakuwa hivyo hivyo kwako. ukuibali tu matokeo yake. Ukimkibali na ukamfurahisha kwa ngono hatakusumbua tena.
 
jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. Ananitaka kimapenzi. Nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. Haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

kama anaendelea kukuganda mchune kwani hakupendi akutamani kwa muda tu akuachie shombo yeye nduki kwa mkewe hovyooooooooooooo midume mengine pukachaka.
 
Hahahaaaa... HIvi JS umeshatatua hili tatizo?
 
akiendelea kung'ang'ana mchune hakutaki anakutamani mwongo anataka umpe papuchi akumwage aendelee na mkewe tahayuri ibakie kwako.

kama anaendelea kukuganda mchune kwani hakupendi akutamani kwa muda tu akuachie shombo yeye nduki kwa mkewe hovyooooooooooooo midume mengine pukachaka.

hivi malisak umeolewa au bado.......:doh:
 
Tatizo lishatatuliwa wadau asanteni kwa ushauri.
 
nina miaka 12 kwenye ndoa sina wasiwasi na haachwi mtu full kujiamini upo hapo?.

mmh....hiyo umechanganya ian infidelity ama? sasa wzo la kuchuna 'wanaume' wengine unalipata wapi kama una ndoa ya miaka 12? :doh::doh:
 
Hommie ulijueaje huyu kama ni she?

Ahaa kumbe? Haya tuambie maeksipiriensi yako ya kuchuna waume za watu waliokung'ang'ania!:A S angry:

Hommie unasamehewa kwa kuwa slow learner leo manake najua ni besidei. Umeshasikia mwanaume RIJALI anachuna wanaume wengine?
 
Hommie unasamehewa kwa kuwa slow learner leo manake najua ni besidei. Umeshasikia mwanaume RIJALI anachuna wanaume wengine?
Hilo neno usingeliweka ningekupiga faini..........!
 
Acha kutuzingua,pengine mambo tayari,we kama ulikua huna mpango nae no mlibadilishana za nini?kma sio kutudanganya tu.:hippie:
 
Back
Top Bottom