Mume wa Mtu ananitaka

Mume wa Mtu ananitaka

Hapa JF nashangaa, wimbi la ngono nchi ni kubwa ajabu sasa si mwanamke si mwanaume aliyeoa au aliyeolewa kutongozana na ngono limekuwa jambo la kawaida sana nashangaa kujadili hii mada inavyojadiliwa wakati ngono zinafanyika muda wote kwenye nyumba za wageni na wengine hata maofisini kwa sasa sehemu kubwa ya jamii yetu ni aibu kubwa na wafunzi wa chuo na sekondari ndio hatari zaidi

Nataka nikuelewe hapa lakini nashindwa....hebu punguzaa haraka then uweke point yako sawa!!:sleepy:
 
Nataka nikuelewe hapa lakini nashindwa....hebu punguzaa haraka then uweke point yako sawa!!:sleepy:
Hahahaha! Hommie hapo hata mwalimu wetu Gaijin atachemka!! Au ni do the needful?
 
hivi MJ1 kwenye kichen pati si ndo mnaambiwa mkitongozwa msiende kusema kwa wapenzi wenu? au
Hahahah Kaizer ni kweli huwa si vema kusema kuwa umetongozwa kwanza wajua inakera na wala si sifa kwako wala kwa mpenzio lakini ukiona umemkatalia mtu kistaarabu na hasikii inapaswa kumlipua mapema kabla hajakuharibia maana hapa ni suala la kulinda interest zako ati.

Mzima lakini best? long time eeh?
 
Hahahaha! Hommie hapo hata mwalimu wetu Gaijin atachemka!! Au ni do the needful?

hahahaha hommie we acha tu lile somo la mwalimu nikajua nimeeiva lakini wapi......kwa kweli hata Gaijin hapa atachemka!! Do the needful
 
Ngojeni niwaambie, kuna watu huku wamenitukana called me stupid some said kama si ufuska i shouldnt have given out my number and shit of that kind. na kwamba kisa nilikutana naye sehemu za starehe basi it potrayed tabia yangu.

You cant judge mtu kwa sababu alienda kupata starehe iwe bar/pub/disco au popote tu pale. that really sounds absurd......
Pia, you cant judge mtu kwa sababu of how easily she/he gave the phone number. kwa sababu unakuta mtu umempa namba yako ya simu kwa good intentions wewe huna hili wala lile lakini yeye baadae huko sijui ni shetani anakuwa kamuingilia kwenye kichwa anaanza kukuvua nguo in his/her head. You see and this is a big problem (allow me to generalize) us women face everyday.

Kuna wengine wamesema i should just give it in nimpe what the mume wa mtu wants. ndo hapo infedility comes into the picture ndo maana wengine wansema infidelity is here to stay there is no doubt about that. surely kwa mambo kama haya its here to stay.

NN my dear good friend, i didnt take you serious kule pages za nyuma si unaelewa tena mimi na wewe damu damu au sio. no hard feelings whatsoever. so is to everyone around here.

Mume wa mtu sumu tena sumu mbaya sana naeza poteza pua kama nani kasema sijui kule jina limenitoka.
 
kubali usumbufu... badili namaba ya simu..!!kata mawasiliano nae!!
 
:A S 101: Dont answer his calls, never reply his texts, au mpe mpenzi wako simu apokee akikupigia. Ila siku ingine usirudie kugawa namba ya simu hovyo hovyo sawa mama?

Hapo penye nyeusi hapo.....achana na huu upuuzi...kama hutaki kupokea simu wewe achana nayo...mambo ya kumpa mpenzi wako apokee simu yako ni ushenzi na hauna maana...ni kutiana presha tu juu ya mambi ambayo wewe una nafasi ya kuya-solve.Mimi nachoota hapa ni kuwa wewe dada huna nia ya dhati ya kumaliza hili suala...naona kama you are undecided...yaani huko hapa kupima upepo tu!

Mtu akikutaka kimapenzi kwa simu ukimtalia kwa simu ni kupoteza muda tu...wewe mwambie muonane...halafu mpe kubwa...kama unajiamini vya kutosha na kweli humpendi huyo mwanaume basi una nafasi ya kuweza kum-face na kumueleza wazi kuwa humtaki na husingependa kupata mawasiliano ya namna yeyote toka kwake kwa kuwa ameshindwa kuwa muungwana na kufikia matarajio yako!
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there can't be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

Hao ndo wenyewe bana..uliza Da Sofi!!.

Shida hapa inaonekana kama nawe ulimtaka..it makes no sense kuachia namba yako ya simu kwa mtu ambaye huna interest nae na mbaya zaidi unasema eti bado mnawasiliana kana kwamba nawe upo free, wala huna jamaa yako...kauli yako ya mwisho kuwa bado "haelewi" inaashiria nawe umempenda na labda unatafuta "justification" ya kuendelea nae.

Sidhani kama yawezekana mtu ambaye huna hisia nae ukampa namba yako ya simu labda kama mnajuana kwa muda mrefu na kama hamna mazoea na anakueleza mambo ambayo wewe unadhani ni upuuzi, ya nini usimwambie ukweli ukiwa serious na ukaweka bayana kuwa unaweza kumweleza hata mkewe na jamaa yako kuwa anakusumbua kwa ajili ya kumpa tunda?.

Karne hii visa vingi kweli kweli, inawezekana mshafiana nyie kimoyo moyo unataka kuhalalisha tu hapa.

Why don't u block his number? kwani simu yako haina hiyo tekonolojia ya kuzuia "scammers?".Unataka aendelee kukutumia ujumbe na kukupigia simu ili umpe muda wa kumfikiria?..kama mlikutana kwenye starehe na kubadilishana namba unaacha maswali mengi kweli hapa ambayo hayana majibu...
 
Give me a break Ngoshwe ina maana wewe hujawahi kukutana na msichana any place iwe hata kwenye starehe you had a chat mwishowe mkabadilishana namba za simu?? ina maana unakuw aunamtaka huyo msichana?? hakuna cha maswali ambayo hana majibu
Sijasema nawasiiliana naye kama umesoma between the lines
Nina simu ya kawaida haina hiyo huduma ya kublock number
 
JS nitakupa hadithi yangu
Kulikuwa na mtoto (I call him mtoto kwa sababu he sounded like one) alikoseaga namba siku moja akapiga kwangu. Sikuwa namfahamu so nikamsalimia na kumwuliza nimsaidie nini. Akanambia anamhitaji mwenye simu nikamwambia ni mie, akajibu mbona si kama sauti ya Aunt Leila, nikamwambia basi umekosea namba. Akanijibu kistaarabu tu samahani dada yangu aksante. Akakata. Baada ya siku moja akanipigia tena- safari hii usiku wa saa tano-- akaanza na samahani dada najua nimekosea namba (eti anajua amekosea but bado akapiga!!) naomba kujua unaitwa nani na unakaa wapi? Nikamwambia samahani sasa hivi ni usiku na ningependa kupumzika. (sikuona sababu ya kumjibu naitwa nani wakati keshajua amekosea!!). Huweziamini akawa anabeep (kila dakika) kila siku usiku kuanzia saa tano sita. Mr akawa anakuja juu sana na hata nikimweleza story ilivyokuwa hakuwa anaamini nikawa naulizwa swali la Barnaba .....haiwezekani akosee namba wakati wenye simu ni wengi"... huyo ni mtu wako na mnajuana.

Ilikuwa inaniumiza kichwa sana na bahati mbaya kimeo changu hakikuwa na technologia ya kubloc so niliteseka kwa muda hadi nikafikiria sijui nimtegee nimwombe tukutane kisha nimwendee na police maana ndoa yangu ilikuwa inashake haswa kwa ajili yake (whoever he was). Maana sikuwa naweza kuzima simu usiku au kuimute -nitaambiwa nina mambo yangu ati. So nikaanza kumchunia, akibeep nakaa kinywa na Mr akirauka nakaa kimya nikaambiwa nina dharau, kiburi, jeuri na kila kisifa kilichonifaa. But alikujachoka mwenyewe akaacha yaani hadi niliicremugi ile namba!!

So what I want to write here ni kuwa usimlemaze huyo if he daa want to understand you kiutuuzima, mwaga mboga kabla hajamwaga ugali. And the more you delay ndo unarise maswali kwa Mr right wako
 
mazungumzo yenu mlipokutana yakihusu nini? ( hilo unalijua wewe, sina haj ya kujua)

yalikuwa taiti sana na ndani yake kulikuwa na mipango ya maendeleo?

kulikuwa na kitu mmeahidiana kufanya kwa pamoja? eg bizines, tour etc

alikwambia ana mke?

uliwahi kumfahamu na kukutana nae siku za nyuma?

unajua dada yangu ngoja nikwambie:
inategemeana na nini mlikuwa mnaongea. asingeaza kukutongoza kwa simu hivi hivi.

pia usikwepe lawama kama keli unajua huyo jamaa ana mke basi hata wewe unamkwaza mke wa jamaa

kwa nini utoe namba kwa mtu ambaye hana msaada kwako? mmekutana, mmeongea basi hadith zinaishia hapo!

tumia UTASHI
 
kutokana na ufinyu wa muda wangu, sikuweza kuipitia hii sredi yote.
suala kwa mtoa mada.
simu yako ni kabila gani? , tuanzie hapo.
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

Atakuwa member wa JF na amesoma points zako za jana na juzi kuwa unapenda ONS/quickie na unapenda sana SEX kwa hio labda amekuja kukutendea haki.
 
Ngojeni niwaambie, kuna watu huku wamenitukana called me stupid some said kama si ufuska i shouldnt have given out my number and shit of that kind. na kwamba kisa nilikutana naye sehemu za starehe basi it potrayed tabia yangu.

You cant judge mtu kwa sababu alienda kupata starehe iwe bar/pub/disco au popote tu pale. that really sounds absurd......
Pia, you cant judge mtu kwa sababu of how easily she/he gave the phone number. kwa sababu unakuta mtu umempa namba yako ya simu kwa good intentions wewe huna hili wala lile lakini yeye baadae huko sijui ni shetani anakuwa kamuingilia kwenye kichwa anaanza kukuvua nguo in his/her head. You see and this is a big problem (allow me to generalize) us women face everyday.

Kuna wengine wamesema i should just give it in nimpe what the mume wa mtu wants. ndo hapo infedility comes into the picture ndo maana wengine wansema infidelity is here to stay there is no doubt about that. surely kwa mambo kama haya its here to stay.

NN my dear good friend, i didnt take you serious kule pages za nyuma si unaelewa tena mimi na wewe damu damu au sio. no hard feelings whatsoever. so is to everyone around here.

Mume wa mtu sumu tena sumu mbaya sana naeza poteza pua kama nani kasema sijui kule jina limenitoka.

I get you!!There one option
(1)Akipiga mpe boyfriend wako apokee amwambie facts about you!
(2)Mwambie mkutane uongee naye wewe face to face
(3)Je mazoea naye yaka waida then siku mwombe simu yake ujifanye unataka kutuma sms tafutajina la mkewangu,mydarling,honey,etc..ukipata mpigie mwambie wat is going on your husband!!
(4)Jenga mazoea na yeye kama mtu na rafiki but stick on ur track mwisho atazoea mpaka unamwita bfriend wako mnakaa wote itakuwa ndo dawa!!
(5)Usiusemee moyo kama unahisi anakufaa mpe his human been like you he has a feeling on you no matter ur married!!
(6)Thank you!
 
Give me a break Ngoshwe ina maana wewe hujawahi kukutana na msichana any place iwe hata kwenye starehe you had a chat mwishowe mkabadilishana namba za simu?? ina maana unakuw aunamtaka huyo msichana?? hakuna cha maswali ambayo hana majibu
Sijasema nawasiiliana naye kama umesoma between the lines
Nina simu ya kawaida haina hiyo huduma ya kublock number
Haloo wewe siku zote mimi nilikuwa nadhani ushakuwa kumbe utoto bado unakusumbua. Yaani watu tena wengi tu wameongea weeeeeeeeeeee hapa kuhusu mgao wa namba za simu lakini wewe ndo kwanza kichwa kigumu kama nazi. Haya sasa endelea kugawa namba kama pipi kwa wanaume kama hujaishia kugawa tunda kama peremende.
 
I get you!!There one option
(1)Akipiga mpe boyfriend wako apokee amwambie facts about you!
(2)Mwambie mkutane uongee naye wewe face to face
(3)Je mazoea naye yaka waida then siku mwombe simu yake ujifanye unataka kutuma sms tafutajina la mkewangu,mydarling,honey,etc..ukipata mpigie mwambie wat is going on your husband!!
(4)Jenga mazoea na yeye kama mtu na rafiki but stick on ur track mwisho atazoea mpaka unamwita bfriend wako mnakaa wote itakuwa ndo dawa!!
(5)Usiusemee moyo kama unahisi anakufaa mpe his human been like you he has a feeling on you no matter ur married!!
(6)Thank you!

Nimeipenda hiyo ya mwisho
 
kubali usumbufu... badili namaba ya simu..!!kata mawasiliano nae!!

Nijuavyo mimi sisi wanaume mwanamke akisema NO kwa kumaanisha huwa tunajua, na akisema NO ya huku akimaanisha YES pia huwa tunajua!

Haina haja ya kubadilisha namba ya simu, isipokuwa ile NO yako iwe inamaanisha, na siyo ''unakataa kwa bega''!!!
 
Hahahahaha hii tunasema sitaki na nataka.
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

JS usitake kutuambia tangu Tue Sept 2009 hujawahi kutongozwa na mme wa mtu mpaka ukaja na hii sredi. How ugly r u?
Au unataka kutuambia asingekua mme wa mtu mngemalizana na tusingejua. Kwa iyo ulimchunguza kwanza mpaka ukajua ni mme wa mtu sio?

Je asingekua mme wa mtu ungempa?
Au kwa tthread hii unataka tuconclude kuwa we si kicheche?

Ka ndo ivo na mi niko singo.
 
Jamani waume wa watu pia tunapenda kukanyaga nje kama kawa. Mpe baada ya muda ataacha

Na hapa

Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.

Kaazi kweli kweli 😛ray:
 
Back
Top Bottom