Mume wa jirani yangu kaingia chumbani mwangu...

ina maana wewe unaishi kwenye chumba kimoja???sasa kwa nini unavua nguo zote bila kufunga mlango?? Maana yake ni kuwa unataka kufanywa
 
Nazjaz kama ningelikuwa mimi ningefurahi na hiy ningeichukulia kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye hisia zangu, kwa nini avamie chumbani kwako bila hodi, anakutaka au raha yake angekukuta uchi ili afurahi?????

Kwa kuwa ilikuwa ni hatua ya kwanza ungempa nafasi ili uone kama anaelekea huku ufikiriako!!!!! Kama ngesubutu kufanya hivyo hapo ndiyo angekuwa amenigia kwenye kumi na nane zako na hivyo ungemkata shingo kwa kumpa bonge na shushi ili akome.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh mgeni kuingia moja kwa moja chumbani inaleta picha ya haraka kwamba ni chumba kimoja na dish supersport juu yake. Samahani mi napita tu kuna mtu namtafuta hapa JF senkyuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mmmh... Bora mie sijasema...!
 
Hapo sio bure kuna visababishi tena vina muda mrefu!
Mf. Mazoea yako wewe na yeye na tena mke wa huyo jamaa hajui.
Ushauri: Usipige mayowe ukiona yafaa mpe tu .
 
Hii thread ze comedy..lol
Yaani jibaba limefuata DSTV??..na wewe uko uchi?
Umemuacha hadi aftertime??..mmmh!
 
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi

Heeee bila ya hodi! Mtimue na fagio usikutaftie balaa bure

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
We Kiboko Una Chumba Kimoja afu una DSTV...

Nyi mnajuana waarabu wapemba

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.

Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.

Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?

Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi

wache aangalie TV wewe nenda kwa mkewe ukapige nae stori mpaka mpira umalizike akurejeshee ufunguo ndio urudi kwako.
Na jee wewe huna janadume lako?
 
Nazjaz @work...................

Kaingia chumbani kwako bila hodi inamaana hufungi mlango?? Na ni chumba kimoja??

Maana isingekuwa chumba kimoja asingeingia moja kwamoja angefikia sebuleni
 
Nazjaz @work...................

Kaingia chumbani kwako bila hodi inamaana hufungi mlango?? Na ni chumba kimoja??

Maana isingekuwa chumba kimoja asingeingia moja kwamoja angefikia sebuleni

NI CHUMBA MASTER. Sina sebule ila nina jiko
 
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi
Vp baada gemu jamaa alikula wepesi/uzito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom