Mume wa jirani yangu kaingia chumbani mwangu...

'Jirani jirani yangu ee, nimekusea nini
nikueleweje jirani ee, nikueleweje mwenzangu ee
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana haina maana kunyimana
hata nikikuona bila nguo haina maana haina maana yoyoyo haina maana kunyimana.
 
sijaelewa uzuri hili usemalo...
Alikuja chumbani ukiwa unavaa na ambako ndiko iliko hiyo TV aliyotaka kuangalia mpira au ukiwa chumbani yeye aliingia bila hodi nyumbani kwako (yaani pengine sebuleni) ambako ndiko iliko TV??
 
ha ha ha...yaan wewe...Tumejua umefunga dstv. ujumbe umefika
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.

Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.

Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?

Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi
 
chumba kimoja afu unalipia dstv loh

ndio raha ya bongo tuko radhi kuishi kwenye nyumba ya kupanga tukiwa na usafiri safi, chumba kimoja na watoto wa 3 tena cha ajabu wengine wako secondary ni raha kwenda mbele. unaweka pazia tu katikati watoto wa kiume na wakike unawapeleka kwa watoto wa mwenye nyumba ya ni kufuru na uzo wafikira
 
Siku ingine kumbuka kufunga mlangp na funguo/Komeo maana anaweza kukuta uko kama umezaliwa sijui utaficha uso/Matiti/au thermos?
 
'Jirani jirani yangu ee, nimekusea nini
nikueleweje jirani ee, nikueleweje mwenzangu ee
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana haina maana kunyimana
hata nikikuona bila nguo haina maana haina maana yoyoyo haina maana kunyimana.

Yamekuwa hayo?
 
Mmmh mgeni kuingia moja kwa moja chumbani inaleta picha ya haraka kwamba ni chumba kimoja na dish supersport juu yake. Samahani mi napita tu kuna mtu namtafuta hapa JF senkyuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

hii lazima akujibu, labda kama sio Nazjaz nimjuaye
 
Last edited by a moderator:
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.

Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.

Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?

Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi

kwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom