Mume wa jirani yangu kaingia chumbani mwangu...

mwanamke akikuita lijitu dah ujue kweli hakupendi....mpende mwenzako bana,
 
Mvumilie, hizo ndiyo karaha za kuishi Uswahilini!!!!!
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi
 
hahahahahahahaaaaa, kwa hiyo kakucheki ukitupia kale kabikini kako pale kati. Mmmh! hiyo ndio supersport bana.
 
Bora ulivyomtoa lakini wanaume kwa mpira huwa haisim*** na hivi mechi yenyewe droo hataamani wala
Sema bugudha na harufu za soksu au sigara ndo kero
 
Mmmh mgeni kuingia moja kwa moja chumbani inaleta picha ya haraka kwamba ni chumba kimoja na dish supersport juu yake. Samahani mi napita tu kuna mtu namtafuta hapa JF senkyuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom