Mume na Mke Msipishane Sana Umri

kuna watu wana roho ngum aisee
20231023_120030.jpg
 
Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.

Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.

Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Brother hebu acha basi nyumbani nimeacha ndara, haya Nachepuka naenda kutafuta ndara! Ujinga gani huo?
Hata mkeo akipata habari anaanza kukuuliza umeikosa Nini mme wangu mbona Kila kitu nakupa?
Lakini akikuona na kisu atabaki kusema haya bwana,
Maana anajua ulichoenda kukitafuta Hana! 🤣🤣🤣🤣
 
Mkipendana hata kama mmoja ana miaka 60 mwingine 20, lazima mtakua na furaha tu. Either mmoja arudi utoto kiakili kumfata wa miaka 20, au wa miaka 20 awe mzee kiakili kumfata wa miaka 60. Mahusiano haya ndo yananogaga sasa. Muhimu upendo wa kweli!!!!!
Hayo mahusiano mazuri sana ila kwanini hao wazee sio akina Majuto au Muhogo mchungu? 🤣

Ukitafakari kwa kina utagundua kuna jambo flani la kipekee 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom