Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,895
- 3,650
- Thread starter
- #41
🤣🤣Ushachelewa kutukumbushaa mkuu
🤣🤣Ushachelewa kutukumbushaa mkuu
doh..🙉🤦♂️Nimendika 50 badala ya 60....
Hapo namaanisha tumepishana miaka 60
Sana halafu mara nyingi inakuaga couple strongMkipendana hata kama mmoja ana miaka 60 mwingine 20, lazima mtakua na furaha tu. Either mmoja arudi utoto kiakili kumfata wa miaka 20, au wa miaka 20 awe mzee kiakili kumfata wa miaka 60. Mahusiano haya ndo yananogaga sasa. Muhimu upendo wa kweli!!!!!
Duh yani mtu wa miaka 20 ampende wa miaka 60Mkipendana hata kama mmoja ana miaka 60 mwingine 20, lazima mtakua na furaha tu. Either mmoja arudi utoto kiakili kumfata wa miaka 20, au wa miaka 20 awe mzee kiakili kumfata wa miaka 60. Mahusiano haya ndo yananogaga sasa. Muhimu upendo wa kweli!!!!!
Hiv uko serious kwelAge go + sura pesono nitafia hapo
More than seriousHiv uko serious kwel
Haupitwiiii 🤣🤣🤣🤣😂😂Ukute zile kama fagio 😂😂
Kanipita miaka 10 namuogopa hatari .ila ni vizuri ili heshima iwepo.angekuwa rika langu sijui ingekuwaje.mume anatakiwa awe kama baba nyumbani.namuheshimu sana japo namuogopa na inasaidia hatuna migogoro maana heshima ipo
doh kumbe kuna wanawake wenye hofu ya mungu hum jeiefu na hamsemi🙄nyumbani.namuheshimu sana japo namuogopa
Brother hebu acha basi nyumbani nimeacha ndara, haya Nachepuka naenda kutafuta ndara! Ujinga gani huo?Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.
Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.
Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Nampenda sana na kumheshimu dady wangudoh kumbe kuna wanawake wenye hofu ya mungu hum jeiefu na hamsemi
Mkilingana umri mtaheshimiana kweli?? Mtaanza kujibizana tu au mwanamke makelele tu ovyosafi sanaa.
Hatimae wa sura pesono tumefikiwa 🤣Age go + sura pesono nitafia hapo
Haya njoo ujibebee muhogo mchungu anatafta mkeMkilingana umri mtaheshimiana kweli?? Mtaanza kujibizana tu au mwanamke makelele tu ovyo
Ukiwa na.mtu mzima unakuwa na adabu automatic
Hayo mahusiano mazuri sana ila kwanini hao wazee sio akina Majuto au Muhogo mchungu? 🤣Mkipendana hata kama mmoja ana miaka 60 mwingine 20, lazima mtakua na furaha tu. Either mmoja arudi utoto kiakili kumfata wa miaka 20, au wa miaka 20 awe mzee kiakili kumfata wa miaka 60. Mahusiano haya ndo yananogaga sasa. Muhimu upendo wa kweli!!!!!