ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ni kweli haya yanatokea ama umeamua kutunga story tu?
Ungekuwa ndugu yangu ama ningekuwa nakujua lazima ningekutandika ngumi nyingi na vifuti vya kutosha na nisingekupa ushauri wangu wowote.