Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,711
- 4,985
Huyo unakuta hata joto hana ubaridi kama panga lililolala nje usiku kucha 😂Acha watu wapate mke jamani baridi sio poa
Huyo unakuta hata joto hana ubaridi kama panga lililolala nje usiku kucha 😂Acha watu wapate mke jamani baridi sio poa
Tuache tunakula kwako?Ila single maza nyie 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣Utaacha ndala upate dipresheni
Na sisi mtuache wambieni waliowazalisha muolewe naoTuache tunakula kwako?
Hatuwataki tunawataki nyie nyie tunyooshane vzrNa sisi mtuache wambieni waliowazalisha muolewe nao
Kwamba uwe unapelekwa vacation Paris?Cha kutosha kuishi maisha comfortably
Kwa akili yako unaweza pata mwenza ukiwa chumbani??Speaking from experience 😂
Asante la mama tho nimeshapata mke guess who?Red black secretarybird jichagueni nani anaoa
Ushjichafua kwa skendo zako jeifu au unakuja kwa jina lingine best😅😅Nipigie pande hapo basi nipate mke besty
si ndo uyo nlomtag au kuna mwingineAsante la mama tho nimeshapata mke guess who?
Sjamuona mbona hahahsi ndo uyo nlomtag au kuna mwingine
Nilikukatalia maana najua ambacho kingekusibu🤣🤣🤣🤣
Dipresheni hebu niache! Si ulikataa kunifundisha!
Una ushahidi?Huyo unakuta hata joto hana ubaridi kama panga lililolala nje usiku kucha 😂
Kwani uko tayari mimi niwe na wake wawili?! 😯Red black secretarybird jichagueni nani anaoa
Una mapungufu gani makubwa ambayo hujayaandika hapa kwenye tangazo lako?
Ningekuwa nadownload hela tuNilikukatalia maana najua ambacho kingekusibu