user1787595691
Member
- Aug 24, 2026
- 19
- 33
- Thread starter
- #41
Umeangalia kwa Mwamposa?
Bado
Umeangalia kwa Mwamposa?
Kipato kinachoeleweka ndio shilingi ngapi kwa mwezi?
Hivi una watoto wangapi uongezee na wa mleta uzi muanzishe familia..!!Tatizo kubwa la mabinti ni kuangalia leo badala ya siku za usoni. Binti ukiruhusu tumbo lako likalea kiumbe mpaka ukakileta duniani kabla ya ndoa, kubaliana na usemi kuwa ndoa ni majaliwa.
MawasilianoKaribu
Utaacha ndala upate dipresheniHebu nifundishe leo sina kazi nione kinavyofirisi.
Eehn kinapatikana wapi?? namna ya kucheza??
Mwanaume aliye serious hawezi kuwa na single mother.Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Utanikera! Acha kumuuliza maswali magumu babe wangu.Wewe mbona hujaweka level yako ya elimu?
Ww unaingiza sh ngapKuanzi 2m sio mbaya
Usinambie unataka kujiweka chap 😹😹Utanikera! Acha kumuuliza maswali magumu babe wangu.
Maswali kama haya anayaruka ,kwasisi tulisoma saikoloji baba mtoto yupo na anawasiliana naye kama kawaida ila wamepishana kidogo ,mambo yakikaa sawa huko mbele mchumba anayefutwa either atamwagwa au atamixxiwa By Yas.Huyo mtoto baba yake yupo hai?