Mume mchumba anatafutwa

Mume mchumba anatafutwa

Kasome bailojia ndio ukomenti usi expose kutojua kwako ni aibu
Kwamba kijana hii Degree yangu ya MD nilisoma kichwakichwa bila bios unajua nimefika level nikiona mdada najua kbs mbususu imekaaje 😂
 
Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha

Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma

Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Hujasema baba wa mtoto yuko wapi !
 
Back
Top Bottom