Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,551
- 11,788
Au sio 😹Mimi na wewe hadi kieleweke
😹😹😹Nataka niwe mchumba wake wa muda mfupi wakati anatafuta mume, na uzoefu mkubwa wa kuusindikiza wadada kwenye ndoa zao.
Sisi Darasa la 5C ila tunakipato unataka tukose vigezo mkuuHujagusia elimu kwa upande, naomba uongeze hicho kipengele.