DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,573
- 6,112
Kila la Heri
Nimekwama hapo kwenye age mkuuJamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Mkuu hiyo ni ya wakamaria na Mimi sio mkamaria.Hebu nifundishe leo sina kazi nione kinavyofirisi.
Eehn kinapatikana wapi?? namna ya kucheza??
Asikose pia kwenda kwa Mwamposa. Ahakikishe ananunua maji, udongo, chumvi na sabuni ya upako.
Sawa bestMkuu hiyo ni ya wakamaria na Mimi sio mkamaria.
Tatizo kubwa la mabinti ni kuangalia leo badala ya siku za usoni. Binti ukiruhusu tumbo lako likalea kiumbe mpaka ukakileta duniani kabla ya ndoa, kubaliana na usemi kuwa ndoa ni majaliwa.
Kila la heri
Kama huna kipato cha kueleweka upite kama aviator.
Kipato kinachoeleweka ndio shilingi ngapi kwa mwezi?awe na kipato kinachoeleweka
Afya ya akili,afya ya mwili sio kigezo?
Am 33 ....and interested.
Hahaha haha!!!¡!!!!
Hilo siwezi kushauri maana mimi sijawahi kuhangaikia ndoa namna hiyo..... enzi naolewa mimi ukitaka kuolewa chap kwa sangoma unaoga zako dawa mchumba anakuja kugonga hodi mlangoni. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 🏃♀️
Unatafuta mchumba wa "muda mfupi" halafu unataka aje kuwa mume?
Hapo kwenye miaka kipengere,age ain't a number!Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Ungekuwa hujaolewa...ningekuomba ukaniogee mimi hiyo dawa ili....chap.. 🤸Hahaha haha!!!¡!!!!
Hilo siwezi kushauri maana mimi sijawahi kuhangaikia ndoa namna hiyo..... enzi naolewa mimi ukitaka kuolewa chap kwa sangoma unaoga zako dawa mchumba anakuja kugonga hodi mlangoni. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 🏃♀️
Kwasangoma siwezi
Jamaniii 😂 😆 😂 😆 😂 😆Ungekuwa hujaolewa...ningekuomba ukaniogee mimi hiyo dawa ili....chap.. 🤸
Una mapungufu gani makubwa ambayo hujayaandika hapa kwenye tangazo lako?Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo