Mume mchumba anatafutwa

Mume mchumba anatafutwa

Ongeza sifa hizi
Awe msukuma
Mzazi mwenzangu diseased
 
Polonium 90 is the radioactive element which can destroy your body within a second. Dear young men take care of you
 
Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha

Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma

Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
huo umri umeweka na bado unataka wa peke yako tu
 
Wewe unacho kipato cha uhakika?

Kama unacho njoo hapa Kisasa sheli maeneo ya LA LIGA. Nikutunuku.
 
Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha

Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma

Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Upo serious na hauna kipato cha uhakika.
 
Sheria nilizopewaga
1.Usimpige Miti kama hutomuoa.
2.Usimpige Mimba kama hutomuoa.

Lakini 😁
 
Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha

Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma

Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Umepata?
 
Jua lishakuwa la jioni bado unaleta vigezo vingi,subiri uzeeke

We ungeandika hivi natafuta mume kikubwa awe anapumua tu
 
Back
Top Bottom