Mume mchumba anatafutwa

Mume mchumba anatafutwa

Mkuu wa Matajiri unahoji kipato unakua kama sisi wavimba macho tena..
Mimi nina mke tayari, nataka awe specific, sio apate bwana mwenye kipato cha 1.5 mil kwa mwezi, aingie naye kwenye ndoa, halafu akiwa ndani ya ndoa aanze kumsumbua mumewe, mbona wewe huingizi milion 5 kwa mwezi kama mume wa jirani
 
UWiii huku hakuna huku ni kama unataka mwanaume wakumtunza kama mtoto wako
 
Daah sijaangalia kigezo cha Elimu kumbe
Mimi nina mke tayari, nataka awe specific, sio apate bwana mwenye kipato cha 1.5 mil kwa mwezi, aingie naye kwenye ndoa, halafu akiwa ndani ya ndoa aanze kumsumbua mumewe, mbona wewe huingizi milion 5 kwa mwezi kama mume wa jirani
Kama wapambanaji watafutane wenye lengo moja wakiweka kipato siku mmoja akiwa na pungufu au hana kabisa ndoa inavunjika tena kumbe life ni uvumilivu aisee bila kuvumiliana kila siku watakua wanakuja na matangazo ya mtu mwingine mwenye per diem kubwa..
 
Back
Top Bottom