Unaweza kuacha biashara na kufanya kilimo maana mm boyfriend wako mtarajiwa nafanya kilimo cha muda mfupi njombe,mbeya,same pia nafuga kitimoto hapa dodoma nina watoto wawili wapo kwa shangaz zao ila ukijitokeza nitawaleta kalibu nitawachanganya na wako tuwalee pamoja
Maswali kama haya anayaruka ,kwasisi tulisoma saikoloji baba mtoto yupo na anawasiliana naye kama kawaida ila wamepishana kidogo ,mambo yakikaa sawa huko mbele mchumba anayefutwa either atamwagwa au atamixxiwa By Yas.
Hii 2mil iwe ni Basic, Gross au take-home.Kuanzi 2m sio mbaya
Mkuu wa Matajiri unahoji kipato unakua kama sisi wavimba macho tena..Kipato kinachoeleweka ndio shilingi ngapi kwa mwezi?
Nataka niwe mchumba wake wa muda mfupi wakati anatafuta mume, na uzoefu mkubwa wa kuusindikiza wadada kwenye ndoa zao.Usinambie unataka kujiweka chap 😹😹
Nilitaka aweke level yako ili nimuunganishe na ex wangu anakidhi vigezo vyote anavyotaka..!!
Daah nimecheka sana kwa hiyo zikipungua hapo ndo hakuna tena au..Hii 2mil iwe ni Basic, Growth au take-home.
Daaah..Wa la 7 hatuhusu hii
Sifa zote ninazo kweny elimu nimekosa sifaJamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Ningekuwahi ila ujana ule na wajanja uzeeni ule na wajinga me nakimbiaJamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Nakupenda sana baby.Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Kwanini kwanza huyo alikuzalisha asikuoe kama ulikuwa wife material kweli?Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Huyu atanifaaa kabisa. Njoo pm tuenjoyJamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Nipigie pande hapo basi nipate mke bestySawa tukisikia anaetafuta mke tutakwambia...
Speaking from experience 😂Hudhuria semina, makongamano mbali mbali. usijiweke sana ndani jitoe out mara kwa mara utapata mwenza sahihi.
Wapi kaandika amezalishwa?Kwanini kwanza huyo alikuzalisha asikuoe kama ulikuwa wife material kweli?
Huoni hapo kaandika ana mtoto mmoja? Kataa masingle maza wakaolewe na waliowazalishaWapi kaandika amezalishwa?