Mume kufuliwa nguo za ndani na mkewe

Ni lazima kuwafulia wanaume hawajui kufua nguo za ndani matokeo yake wananuka kwa kuacha uchafu
 
Kwaupande wangu mie nimeshazowea kuzifua na nimependelea hivyo kwa sababu maalum,yeye kufua zangu ni pale akipenda au anikute bafuni nakoga au tunakoga hapo anaweza kufua...
 
..Mke kufua nguo za ndani za mumewe ni hiari,lazima au makubaliano?..
Zaidi ni hiari ambayo ikifanyika kwa muda mrefu inakuwa "kawaida". Na waswahili wanasema "kawaida ni kama sheria"! Mkishazoea utaratibu huo, ikitokea siku mwanaume ukaamua kufua mwenyewe kuna nyakati inaweza kuzua maswali yasiyotarajiwa kabisa!: "Kwani leo umetoka wapi?" "Ulikuwa na nani?" etc......ndoa hizi!!!
 
Ukitaka ku define haya yote kwenye ndoa, basi wewe co mwanamke wa kuoa, ndoa itakushinda very soon!!
 
Mwanamke mwenye hekima na mapenzi ya dhati kwa mumewe ni wajibu kumfulia mumewe nguo za ndani na socksi zake na sio mtu awaye yeyote!!!!!!!!!!!!na hata kuziondoa kwenye kamba haruhusiwi mtu yyte hata kuzishika ,na hii si kulazimisha wala kumwambia inatokea automatically ni anaijua wajibu wake ,mwanamke mpumbau anayejua kazi yake ni kut***wa tu hafanyi haya humpa housegal afue.
 
Najiuliza na nimeona niulize na wengine hasa wenye ndoa.
Mke kufua nguo za ndani za mumewe ni hiari,lazima au makubaliano?
Hiyari: namaanisha mke anaweza kufua atakapojisikia kumfulia au anaweza akaamua siku hiyo asifue akaacha mume afue mwenyewe.
Lazima: kwamba hata iweje mume HATAFUA nguo yake hata kama mkewe kasafiri akirudi atazikuta, zikiisha mume atanunua zingine lakini kamwe hatafua lazima afue mke.
Makubaliano: Mume anaweza kuamua kua atakua anajifulia mwenyewe au wakakubaliana kua yeyote anaweza kufua nguo za ndani za wote wawili.
Naomba mnisaidia hapa....
Kwa uzoefu na utashi wako
HASA WANAUME (sijabagua wanawake)
Hayo ni makubaliano yenu wawili
 
Ni majukumu,upendo,wajibu,hiyari kimsingi ni aina tu ya vitu mwanamke anafanya katika ndoa,pengine si lazima sana lakini kwa wengine it s that way!mi wangu hata nikisafiri mwezi nakuta zimejazana kibao kwenye tenga zikiiisha yuko radhi anunue nyingine ,lakini tisa kumi sipendi kufua kitu kinaitwa handkerchief,uwiiiiiiiiiiiiiih !hizo kwa kweli anajua huwa sifui anazifua mwenyewe!
 
Me kwangu nimejiwekea lazima..nimeamua kumtunza why nisifue chupi yake?...tena naskia raha nikizifua nakumbuka kinachokaa ndani ya chupi lol
 
Kuna kazi ambazo naturally mwanaume anaona uvivu kuzifanya, na mwanamke pia ana zinazomtia uvivu. Kama baba wa watu anashinda gereji na tuktuk yako akiifanyia service, why wewe usimfulie?

Kama kuna mapenzi na maelewano, kufua naturally atafua mwanamke. Japo kuna rafiki yangu anasema mkewe ni mvivu sana wa kufua, yeye ndo anafua nguo zake na za mkewe, za ndani na za nje.

Ila mwanaume kunifulia vyupi vyangu hata akitaka itakuwa ngumu manake vina masharti kama ya waganga! Unakuta kitu cheupeee! Afu analoweka na liboxer lake la gray ama black!

Mpenzi, mfulie tu! Lakini usiifanye kuwa sheria. Akiona imelega kidogo akubembeleze sio agombe why vyupi havijafuliwa. Na siku moja moja unadeka afue na yako ili ajikumbushe unavyomjali,lol! Kwenye mapenzi kila mtu anajitahidi kumpa mwenzie ka-addiction flani. (Usije kuuliza about kutandika kitanda sasa eh? Wakioa mikono huwa inakatika)

Nimefurahia sana mchango wako dada yangu na Komandoo wa ukweli King'asti!!

Katika familia, kuna vitu ambavyo mmoja wenu anavifanya vizuri sana kiasi kwamba inakuwa kama vile ni jukumu lake la kudumu....Ila hilo halina maana kwamba mara moja moja mwenzake hawezi kufanya..

Halafu kuna kazi ambazo zimekaa kidumu dume au kike kike....haya pia tunayafanya sana. Ila haina maana kwamba familia nyingine haziwezi kuwa na utaratibu tofauti...

Kitu ambacho Da Pretty amekataa kutueleza ni kama ameburutwa kwa mateke, mangumi na vichwa kufua kufuli za mzee...Which I suspect might be the case!!

Ndo maana wenzenu tunaimba kila siku kwamba ndoa ni raha sana...Na wazee wanatambua kuwa, mara bibi akipigwa RIP basi safari ya babu nayo imekamilika (and vice versa)!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Siku zote ukifanya kitu kwa kujilazimisha/lazimishwa huwezi furahia kukifanya na utaona ni kero hata kama sio. Kama mwenzio anakulazimisha/agiza fua fua mwambie taratibu tu kwamba hupendi kusukumwa alafu ujaribu kufanya mwenyewe kwa hiyari utaona tofauti yake.

Hicho sio kitu ambacho unatakiwa hata ufikirie kwanini unafanya, unatakiwa ujikute unafanya tu na siku ukiulizwa jibu libaki kuwa hata sijui/napenda tu/nimezoea tu etc. Kwa wawili walioamua kuchangia maisha haitakiwi mmoja kumsukuma mwenzie kutimiza hilo, kwa ufupi hamna haja wala haitakiwi kufika kote huko kwa kulazimishana.

Binafsi nafua kwasababu wote tunapendelea nikifua. Sikuanza kwa makubaliano wala kulazimishwa.
 
...Haya mahusiano ya siku hizi kazi kweli kweli!!! Hata kufua chupi ya mume imekuwa nongwa!!!! Duh!

Last edited by a moderator:
ingawa sipo kwenye ndoa, ila huwa napenda bf wangu awe msafi. na mie ndo wa kumsisitiza na kumfanya awe msafi. sitapenda avae pichu iliyofubaa/kutoboka na nikikuta vyup.i vimerundikana lazima ni-mind kwanini hajafua then ntamfulia. nikifanya hvyo siku nyingine hawezi kurundika. huwa nafurahi kumfulia vyup.i, soksi na handkachif. so huwa namwambia fua nguo zote isipokuwa vyup.i, soks na leso ntaja kukufulia iwapo nina ratiba ya kwenda kumtembelea! sijui kama nipo sahihi wadau!!!!!
 
Apo nakupa 100% charminglady
 
Last edited by a moderator:
mi naona hii kitu inatokea tu mwanamke ndo anakuwa mfuaji,kama ambavyo mtoto wa kike anavyojikuta anapenda kujipikilisha tangu akiwa mdogo kbs.
 
Najiuliza na nimeona niulize na wengine hasa wenye ndoa.
Mke kufua nguo za ndani za mumewe ni hiari,lazima au makubaliano?
Hiyari: namaanisha mke anaweza kufua atakapojisikia kumfulia au anaweza akaamua siku hiyo asifue akaacha mume afue mwenyewe.
Lazima: kwamba hata iweje mume HATAFUA nguo yake hata kama mkewe kasafiri akirudi atazikuta, zikiisha mume atanunua zingine lakini kamwe hatafua lazima afue mke.
Makubaliano: Mume anaweza kuamua kua atakua anajifulia mwenyewe au wakakubaliana kua yeyote anaweza kufua nguo za ndani za wote wawili.
Naomba mnisaidia hapa....
Kwa uzoefu na utashi wako
HASA WANAUME (sijabagua wanawake)
asikuonee bwana mwambie afue mwenyewe kazi kuzijambia tuu kufua hataki tena mkazie mpaka azifue
 
Back
Top Bottom