Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

Mwanamke hata kama uneolewa na Managing Director uwe na kashughuli ka kukuingizia hata 1,000 kwa siku kama faida.

Hali kama hii unaweza kula ugali na mchicha ukaishi kuliko manyanyaso haya.
ongezea na kuuza papa
 
Ni kheri kuwa masikini huru kuliko tajiri mtumwa. Hata mwanaume atakuheshimu.
Asili haipukiki...lazima tukubali maumbile yetu.
Mwanamke awe mwanamke na mwanaume awe mwanaume.Na kila mtu aikubali jinsi yake.
La msingi ni;
1.kuheshimiana
2.uaminifu
3.uadilifu
4.kuthaminiana
5.upendo
6.kuvumiliana
7.kujitambua
8.kusikilizana
9.kumpendelea mwenza wako
10.kujua mazuri na mapungufu ya mwenzako
11.kushirikishana katika masuala mbalimbali
12.kufahamu anachopendelea mwenza wako
Haya ni baadhi ya mambo ambayo wanandoa tukiyasimamia tunaweza kusahau "michepuko", tunaweza kuwa pamoja zaidi ya miaka na miaka.
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Kuna wanaume unajua hawajielewagi na hawajuagi wameoa kwa nini wanadhaniaga ndoa ni formula tu umri flan ukifika anaoa tu basi
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Kumbe umeolewa?
 
Ni kheri kuwa masikini huru kuliko tajiri mtumwa. Hata mwanaume atakuheshimu.
Usiongee we mwanamke mi natambua hakuna mwanamke atakae mpenda masikini kama sura yake inalipa atahitaji aolewe na mwanaume mwenye pesa.

kwanza wanawake wa leo ni tamaa zinawasumbua ndo maana Cc wanaume tunapangilia good life ili tuwapate kiurahisi na ukiweka tamaa zako unatumiwa na kuachwa vema kwa sababu mna tamaa na pesa hata kuolewa mwaangalia wallet ya _Ashomile_ S

Sasa lini mtatamani maisha ya amani lkn yenye umasikini ?

ukiongea weka ushahidi wangapi mabintu wanapenda kuolewa na masikini .

Wengi wanaolewa tu kheri good life bt unyumba amani hakuna ... Tz ya wanawake wenye tamaa na pesa
 
AYA YA SIKU

Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.

Maombolezo 3:40
 
sio jambo zuri kutembea namke wamtu
lakini kwakuwa kunatunacho discus naomba nitolee mfano
MIMI HUWAINAPOTOKEA HATA NIKATEMBEA NA MKE WAMTU HUWA NAMWAMBIA OUR 1ST RULES NIKUMUHESHIMU MUMEO ..HILO JUKUMU NILETU SOTE KWANGU MIMI NA WEWE
hakuwa mjinga wala hakufnya kosa kukuoa ..kukuoa kwake yamaanisha kuwa anakupenda anakuheshimu na anakuamini pia kama kiongozi mwenza wakuendesha maisha yenu...
so huu udhaifu wetu wakibinaadamu baina yetu mimi nawewe uliopelekea sisi kuwa in love haupaswi kuwa 7bu yakumvunjia heshima ..nakuvuka mipaka itakayopelekea majuto dhidi yke ..
 
Kisa kiko hivi:

Mume wa ndoa kamtuma mchepuko amkejeli mke wake kwa maneno ya kejeli na dharau hadi kufikia kumwambia ananuka 'K' na mume anasema yeye ndio aliyemwambia hayo ayaseme kwa mke. Bad enough mwanaume haoneshi kwa mkewe kama ni tatizo yani yupo tu tena anamtetea mchepuko.

Unamshauri vipi mwanamke huyu?
kimsingi meseji send.
 
Sasa kama unanuka K usiambiwe? Dharau ni wewe mweneywe umeionesha kwa kuyadharau maungo yako na kutoyasafisha vizuri. Mtu unakuwa unanuka utadhani panya kafiamo humo?

Pole zako.. kuhusu wanawake wachafu hayo andika bila kuninukuu kama yanakuhusu na umeyazoea.

Kaa na tabia zako kama unazo za huyo mwanaume.. na upite hukoooooooo
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
unashindwaje kutunza uke wako hadi unuke? ondoka tu
 
Mmh kuacha Range, bungalow, mahela ya kumwaga utegemee buku kutwa napo ujasiri ujue, ingawa mi si Ke
wanaongeaga tu hata mchepuko uje unye kitandani haondoki hata nje hatoki
mwanamke kuondoka hadi apate mtu wa maana huko nje? eti aondoke kisa utu wake hakuna kitu kama hicho.utu ataukuta peponi
 
Usiongee we mwanamke mi natambua hakuna mwanamke atakae mpenda masikini kama sura yake inalipa atahitaji aolewe na mwanaume mwenye pesa.

kwanza wanawake wa leo ni tamaa zinawasumbua ndo maana Cc wanaume tunapangilia good life ili tuwapate kiurahisi na ukiweka tamaa zako unatumiwa na kuachwa vema kwa sababu mna tamaa na pesa hata kuolewa mwaangalia wallet ya _Ashomile_ S

Sasa lini mtatamani maisha ya amani lkn yenye umasikini ?

ukiongea weka ushahidi wangapi mabintu wanapenda kuolewa na masikini .

Wengi wanaolewa tu kheri good life bt unyumba amani hakuna ... Tz ya wanawake wenye tamaa na pesa
Collective Judgement hiyo mkuu.Siyo wadada wote wako hivyo unavyowaelezea.Siyo kweli.
Jitahidi kuwa specific.
 
sio jambo zuri kutembea namke wamtu
lakini kwakuwa kunatunacho discus naomba nitolee mfano
MIMI HUWAINAPOTOKEA HATA NIKATEMBEA NA MKE WAMTU HUWA NAMWAMBIA OUR 1ST RULES NIKUMUHESHIMU MUMEO ..HILO JUKUMU NILETU SOTE KWANGU MIMI NA WEWE
hakuwa mjinga wala hakufnya kosa kukuoa ..kukuoa kwake yamaanisha kuwa anakupenda anakuheshimu na anakuamini pia kama kiongozi mwenza wakuendesha maisha yenu...
so huu udhaifu wetu wakibinaadamu baina yetu mimi nawewe uliopelekea sisi kuwa in love haupaswi kuwa 7bu yakumvunjia heshima ..nakuvuka mipaka itakayopelekea majuto dhidi yke ..
Unahalalisha ujinga kuusemea upuuzi.
Kama mnalolifanya siyo halali,hamuwezi kuizungumza au kuitenda haki hapo.
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Ndoa inavunjwa kwa kosa la kipuuzi kama hilo?? Watu wanafanyiwa vitu vikubwa sembuse matusi ya mkosaji hayo.

Wanawake tuache kujipa moyo kwamba akienda kuishi na mchepuko atapata joto ya jiwe! Usikute huo mchepuko anao kama mke kwa miaka kadhaa! Halafu ukute sio pasua kichwa utashangaa umemsusia wanaishi miaka hadibwanazeeka unaomba dua la kuku.

Kama vipi apotezee hayo matusi aendelee na maisha
 
Back
Top Bottom