Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata kama unachepuka hutakiwi sema udhaifu wa mke wako kwa michepuko
Wengine wanachepuka sababu wake zao hawawezi fanya kila siku
 
Aiseeeeh!! Yaani kila nilichotype nimeishia kukifuta tu.

Heaven Sent
Nalendwa
Evelyn Salt mkuje jamani
ha ha ha hii story imenikumbusha mashost wawili walioshibana, mmoja alikua na danga lake zee zee hivi, basi rafiki akaona wivu make shost ake alikua anahudumiwa kweli si akaamua apige u turn ajipeleke kwa hilo zee, bila hiyana zee likavunja mifupa ila rafiki alikua hajui kitu, basi zee likamtuma dem wake nanukuu "mwambie rafiki yako ajifunze mapenzi, kitandani hajui kitu"
Back kwa topic hapo hakuna mapenzi tena, afanye anachoona ni sawa
 
ha ha ha hii story imenikumbusha mashost wawili walioshibana, mmoja alikua na danga lake zee zee hivi, basi rafiki akaona wivu make shost ake alikua anahudumiwa kweli si akaamua apige u turn ajipeleke kwa hilo zee, bila hiyana zee likavunja mifupa ila rafiki alikua hajui kitu, basi zee likamtuma dem wake nanukuu "mwambie rafiki yako ajifunze mapenzi, kitandani hajui kitu"
Back kwa topic hapo hakuna mapenzi tena, afanye anachoona ni sawa
Hahahaaa!! Huyo mzee nae kapinda!!
 
Huyo mwanaume ni mpumba.vu sana hata kama mkeo ananuka si kumtangaza kwa namna hiyo alipaswa amwambie tu arekebishe........jamaa anatudhalilisha wanaume tuliokamili aisee
 
Ndoa inavunjwa kwa kosa la kipuuzi kama hilo?? Watu wanafanyiwa vitu vikubwa sembuse matusi ya mkosaji hayo.

Wanawake tuache kujipa moyo kwamba akienda kuishi na mchepuko atapata joto ya jiwe! Usikute huo mchepuko anao kama mke kwa miaka kadhaa! Halafu ukute sio pasua kichwa utashangaa umemsusia wanaishi miaka hadibwanazeeka unaomba dua la kuku.

Kama vipi apotezee hayo matusi aendelee na maisha
Jambo jema,lakini aandae mazingira ya kuongea na mumewe bila jazba ili atambue maeneo aliyo na mapungufu(mwanamke) ili ayafanyie kazi aone kitakachoendelea.
 
Kwa hiyo unafikiri hilo tusi ametukanwa ni la kweli?
Kama ameona ananuka why hamuachi?
Ikija kwa michepuko na haswa huyu mchepuko kupewa bichwa kila tusi litaweza kutolewa ili mwanaume ajione hana makosa.

Mwanamke anayenuka kweli kwa akili zako angeleta mada hiyo humu.. muwe mnafikiria nje ya box.

Olewa kwanza nitagi ukikumbana na hayo.. usisahau.
Sure.
 
Kila mtu na lake ikija kwenye mahusino hakuna anayeweza kuvaa viatu vya mwingine.. yanakuwaga tofauti.. mna midomo mirefu huku wemgi nyie hajui kufikiria nje ya box.

Unayoongelea ni tabia na mtu alivyo.. hapa mafa ni anachokifanya mwanaume.. ukiandika hayo mengine jinukuu mwenyewe.
Nimekupenda bure Cocochanel.
 
Kisa kiko hivi:

Mume wa ndoa kamtuma mchepuko amkejeli mke wake kwa maneno ya kejeli na dharau hadi kufikia kumwambia ananuka 'K' na mume anasema yeye ndio aliyemwambia hayo ayaseme kwa mke. Bad enough mwanaume haoneshi kwa mkewe kama ni tatizo yani yupo tu tena anamtetea mchepuko.

Unamshauri vipi mwanamke huyu?
Kiukweli huyo mwanaume akapimwe akili yake tena msifikiri utani atakua kichaa kinamuanza mwanaume rijali hawezi kufanya uflauni huo
 
hii hainihusu mm ni mtu wangu wa karibu...hana hamu hata kidogo baada ya hili
Mpe pole sana. Mwambie hivi
''Atulie, asiwatukane kwa namna yyte ile au kujibizana nao. Aangalie maisha yake na watoto wake km anao. Sisi wanaume kuna wakati huwa wajinga sana tukipata michepuko. Kiufupi akae kimya asiseme neno lolote''
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Wavulana wa dar mtakua lini?[emoji57]
 
wanaongeaga tu hata mchepuko uje unye kitandani haondoki hata nje hatoki
mwanamke kuondoka hadi apate mtu wa maana huko nje? eti aondoke kisa utu wake hakuna kitu kama hicho.utu ataukuta peponi
Hahaaaa eti utu ataukuta peponi...... nimecheka balaaa
 
Back
Top Bottom