Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

Hakuna haja ya kuacha ndoa yake avumilie tu hayo yote yatapita.
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
bibie kama vyuma vimekaza utaenda wapi?
Wengine huona kuvumilia maisha yaende
 
Mwanamke hata kama uneolewa na Managing Director uwe na kashughuli ka kukuingizia hata 1,000 kwa siku kama faida.

Hali kama hii unaweza kula ugali na mchicha ukaishi kuliko manyanyaso haya.
Ila sasa kwanini unuke k?
Yani mimi nikikuta mwanamke ananuka k, namchana live na papuchi sigusi.
Sinaga uvumilivu na ubinadamu kwenye hili.
 
Ila na huyo jamaa hayupo sawa kiakili, kaweza vipi kumvukilia mwanamke wake siku zote huku ananuka K?
 
unashindwaje kutunza uke wako hadi unuke? ondoka tu

Kwa hiyo unafikiri hilo tusi ametukanwa ni la kweli?
Kama ameona ananuka why hamuachi?
Ikija kwa michepuko na haswa huyu mchepuko kupewa bichwa kila tusi litaweza kutolewa ili mwanaume ajione hana makosa.

Mwanamke anayenuka kweli kwa akili zako angeleta mada hiyo humu.. muwe mnafikiria nje ya box.

Olewa kwanza nitagi ukikumbana na hayo.. usisahau.
 
Kuna mchepuko niliwahi kumpiga chini tena tukiwa kitandan tena nikiwa kifuani baada kujifanya mdadi umempanda na kutoa kashfa kwa my lovely wife nilichofanya ni kushuka nakuondoka na mapenzi yaliishia hapo
 
Kisa kiko hivi:

Mume wa ndoa kamtuma mchepuko amkejeli mke wake kwa maneno ya kejeli na dharau hadi kufikia kumwambia ananuka 'K' na mume anasema yeye ndio aliyemwambia hayo ayaseme kwa mke. Bad enough mwanaume haoneshi kwa mkewe kama ni tatizo yani yupo tu tena anamtetea mchepuko.

Unamshauri vipi mwanamke huyu?
Na yamchepuko ikianza kunuka habari itakuwa hiyo hiyo tu, hivyo mchepuko nao hauko salama
 
Ndoa inavunjwa kwa kosa la kipuuzi kama hilo?? Watu wanafanyiwa vitu vikubwa sembuse matusi ya mkosaji hayo.

Wanawake tuache kujipa moyo kwamba akienda kuishi na mchepuko atapata joto ya jiwe! Usikute huo mchepuko anao kama mke kwa miaka kadhaa! Halafu ukute sio pasua kichwa utashangaa umemsusia wanaishi miaka hadibwanazeeka unaomba dua la kuku.

Kama vipi apotezee hayo matusi aendelee na maisha

Kila mtu na lake ikija kwenye mahusino hakuna anayeweza kuvaa viatu vya mwingine.. yanakuwaga tofauti.. mna midomo mirefu huku wengi nyie hajui kufikiria nje ya box.

Unayoongelea ni tabia na mtu alivyo.. hapa mafa ni anachokifanya mwanaume.. ukiandika hayo mengine jinukuu mwenyewe.
 
Kuna mchepuko niliwahi kumpiga chini tena tukiwa kitandan tena nikiwa kifuani baada kujifanya mdadi umempanda na kutoa kashfa kwa my lovely wife nilichofanya ni kushuka nakuondoka na mapenzi yaliishia hapo
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hahahahahahahahah
 
Wee uko vizuri kimtazamo kumbe
Mkuu kwenye haya maisha usipo jiongeza unaweza uka yumba sanaaaa,na watu ni hodari sanaaaa kusema oooh naondokaaaa sasa ukisha ondoka what is next? sawa umeondoka so what? kama mwanamke pambana jiulize jee ntakua naolewa nakuachwa mpaka lini? hakuna mume mzuri unaweza ukamuacha huyo anaesema ovyo ukakutana na mwengine ukajua umepata mume kumbe uko na mwanamke mwenzio,sasa bora yupi? chamsingi nikupambana na kutokusikiliza ya watu wakikupa ushauri changanya na wako..
 
bibie kama vyuma vimekaza utaenda wapi?
Wengine huona kuvumilia maisha yaende

Mmmmmmh
Hiyo mwanamke akiendelea kukaa ni atajiju. Wanawake wengine wanakuwaga ka maboga.. wakiachana na wanaume wanapata ujasiri haswa na kujiongeza vizuri sana sana.

Ndoa zingine.. mmoja anambumaza mwingine.. anakuwa mbogooo kama hana akili na ujuzi wa mengi.
 
Back
Top Bottom