mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Mwenzio nimepata cha kuandika basi, teh!Khaa me nimekosa cha kuandika, huyo naye ni mwanaume eti,tena mume wa mtu mweeeh
Mwenzio nimepata cha kuandika basi, teh!Khaa me nimekosa cha kuandika, huyo naye ni mwanaume eti,tena mume wa mtu mweeeh
Teh hongera, happy new year. Check kuna uzi tumekumentionMwenzio nimepata cha kuandika basi, teh!
Sasa ukishaondoka ndio K itaacha kunuka ama?Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.
Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Niliwahi kukutana na uzi huku kwamba eti wanawake wanaotoka sheeny fulani (....) sitaitaja wanamazoea ya kutokuosha papuchi zao kwa sababu ya baridi huko kwao. Matokeo yake ni kufika kwa papuchi!!!!Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.
Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Happy New Year to you as well my sister, haya ngoja nikauchekiTeh hongera, happy new year. Check kuna uzi tumekumention
Daah aiseee I don't see any mention, ila nahisi kuna tatizo somewhere coz sijaonaga mention for nearly 6 months now, hadi nikajisemea nishakuwa zilipendwa kwa watu niniTeh hongera, happy new year. Check kuna uzi tumekumention
Kama unatumia app ya jf hainaga mentions mara nyingi (my experience), ukiingia kwa browser ndo unazionaDaah aiseee I don't see any mention, ila nahisi kuna tatizo somewhere coz sijaonaga mention for nearly 6 months now, hadi nikajisemea nishakuwa zilipendwa kwa watu nini
Basi ndo maana, khaaa!! nipe basi uzi huoKama unatumia app ya jf hainaga mentions mara nyingi (my experience), ukiingia kwa browser ndo unaziona
Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?Basi ndo maana, khaaa!! nipe basi uzi huo
Hahaaaa asante, nimeanza kucheka tu hiyo heading, teh!
Aiseeeeh!! Yaani kila nilichotype nimeishia kukifuta tu.
Heaven Sent
Nalendwa
Evelyn Salt mkuje jamani
ha ha ha hii story imenikumbusha mashost wawili walioshibana, mmoja alikua na danga lake zee zee hivi, basi rafiki akaona wivu make shost ake alikua anahudumiwa kweli si akaamua apige u turn ajipeleke kwa hilo zee, bila hiyana zee likavunja mifupa ila rafiki alikua hajui kitu, basi zee likamtuma dem wake nanukuu "mwambie rafiki yako ajifunze mapenzi, kitandani hajui kitu"
Back kwa topic hapo hakuna mapenzi tena, afanye anachoona ni sawa
Wanawake tuna mafurushi acha kabisa.Khaa me nimekosa cha kuandika, huyo naye ni mwanaume eti,tena mume wa mtu mweeeh