Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

Du sawa bwana lakini hapo ndiyo unakuta ule usemi wa wadada bwenini tukiwa sekondari kuwa mume wangu ameshanisomea mimi ninasoma ni kue kuheszbu hela ya matumizi nyumbani
Umeona eeh
 
Du sawa bwana lakini hapo ndiyo unakuta ule usemi wa wadada bwenini tukiwa sekondari kuwa mume wangu ameshanisomea mimi ninasoma ni kue kuheszbu hela ya matumizi nyumbani
Umeona eeh
 
Kwani kwenu umeua?!...rudi nyumbani kaanze maisha mapya utakuja kufa kwa presha bure
 
Kama mwanamke unatakiwa usikurupuke tuu,jichunguze wapi umeteleza? kila binadamu na mapungufu yake,ni rahisi kusema naondoka bora nikale maharage au mchunga lakini bado hujatatua tatizo,kwa upande wangu siondoki kwanza nachunguza hakuna ndoa nzuri moja kwa moja kama kuna machungu na matamu yapoo,mie changu hawezi kunitoa nyumbani kwangu nikamuachia nilicho chuma nae na watoto wangu kukosa mapenzi ya baba yao kisa Mchepuko hawai,ama zangu ama zake...
 
Eeeeeh
Upo Baba upinzani.. vipi huko mmepata akili kuwa na nondo siku hizi?

Nakuombea mkeo aje awe yule utamuheshimu sana na kutomtupia maneno machafu kama ya huyo dume.
SASA KAMA UNANUKA ''K'' USIAMBIWE,KUNA WANAWAKE WANANUKA KUANZIA MDOMO, NYWELE MPAKA ''K'', UKIWA UNANUKA HATA MIMI NAMTUMA MCHEPUKO AKUTUSI TU
 
SASA KAMA UNANUKA ''K'' USIAMBIWE,KUNA WANAWAKE WANANUKA KUANZIA MDOMO, NYWELE MPAKA ''K'', UKIWA UNANUKA HATA MIMI NAMTUMA MCHEPUKO AKUTUSI TU

Aiseeeee
Hao wanawake na upo nao eeeeeeh
Haya nimejua na wewe ukoje.. yaani unamvumilia hadi unaenda kuita mchepuko amtukane.. kwani kumuacha utakuwa na lipi haswa linakuzuia ili ukae na huo mchepuko kwa raha zako!?
 
Kama mwanamke unatakiwa usikurupuke tuu,jichunguze wapi umeteleza? kila binadamu na mapungufu yake,ni rahisi kusema naondoka bora nikale maharage au mchunga lakini bado hujatatua tatizo,kwa upande wangu siondoki kwanza nachunguza hakuna ndoa nzuri moja kwa moja kama kuna machungu na matamu yapoo,mie changu hawezi kunitoa nyumbani kwangu nikamuachia nilicho chuma nae na watoto wangu kukosa mapenzi ya baba yao kisa Mchepuko hawai,ama zangu ama zake...
Wee uko vizuri kimtazamo kumbe
 
SASA KAMA UNANUKA ''K'' USIAMBIWE,KUNA WANAWAKE WANANUKA KUANZIA MDOMO, NYWELE MPAKA ''K'', UKIWA UNANUKA HATA MIMI NAMTUMA MCHEPUKO AKUTUSI TU
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
hahaaaa haya mambo kweli yanatokea duniani au !!?? Huu niushetani aiseee hahahaa
yaani unaanzaje kumfanyie hivyo mkeo kama umemchoka siunamuacha tu pasipo kumsababishia viharusi na mtu kujikuta anayachukia maisha...
zaidi ya kugegedana na mwanamke then kuachana nae kimya kimya aisee huwa siuruhusu mdomo kumtamkia kauli taka taka hata siku moja...nakumbuka nimeshawahi kufnya huo ujinga but I was 17s years.not kuanzia 20s kuja juu...nahiyo nibaada yakugundua kuwa jinsi unavyoumia wewe nakuugulia maumivu unayoyapata pindi unapoumizwa ndio maaumivu ayapatae mwenzko uliyeamua kumuumiza iwe kwa maneno au vitendo....
hahaaa aiseee poleni mnooo mliopo kwenye ndoa zenye hizo mambo
 
Ni sawa, ujuwe ameshakuchoka,
mwanamke aamue mwenyewe atafanya nini;
 
Makosa husamehewa lakini dhambi haisameheki!
Huwezi kumdhalilisha mke kiasi hicho tena umezaa nae watoto!ndio shida mwanaume akishapewa tako na mchepuko hata mama ake mzazi anaweza kumtukana!shubamiit
 
Huko ni kukosa nidhamu na heshima kwa mke na mzaz mwenzako
Adhabu yake ni vboko 12
 
Hakuna dini inayoruhusu kuwa na mchepuko.Kwa hiyo, tukemee hii hali ya wanandoa kukosa uaminifu na uadilifu mbele ya wenza wao.
Kwa nini? Dini zote zinajua madhara ya michepiko ambayo ni sehemu ya zinaa.Kwa hiyo kupayuka mbele ya mchepuko maana yake ni nini?Maana yake ni madhara ya hicho tunachokiita michepuko.
Tuacheni kwa kuwa hatuwezi kujisahihisha kwa kukosoa yaliyosemwa na mwanaume aliyechepuka bali ni kwa kuzuia kuchepuka kwanza.
Tusihalalishe michepuko na kuona yapo yanayostahili kusemwa huko na yapo yasiyostahili kusemwa huko.
Tujisahihishe...michepuko isiwe fashion. Mwanaume alinde ndoa yake hali kadhalika mwanamke.Kila mtu akomae na chaguo lake,otherwise tusilaumu haya kwa kuwa ni madhara ya michepuko.
 
Mwanamke umeolewa na ndoa yako, unaoata wapi muda wa kujibizana na mchepuko kama hutafuti kujifedhehesha???
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
Na yeye kwa kumkomoa angemwambia ananuka dude.
 
mimi naona sawa tu maana hata nyie wanawake mkiwa mnagegedwa na vidumu vyenu, mnawaambiga kwamba oo mume wangu hajui mapenzi,mara hajatahiriwa, mara ana kibamia, hana mwogo kama wako, nk. tunatukanwa sana kwenye vijiwe vyetu vya kahawa
 
Ni sawa, ujuwe ameshakuchoka,
mwanamke aamue mwenyewe atafanya nini;
hata kama umemchoka hiyo sio njia njema yakuachana namkeo mtu ambaye ni share holder mwenzko mtu ambaye ndiye msiri wako...tena usikute mmezaa na mna watoto...kuna namna ykuachana namtu then hata kesho nakesho kutwa akishikwa nanjaa ama kiu atajikuta anatamani kuja kwako nakuomba Chakula Ama maji yakunywa...wanadamu huwa tunakipindi kifupi mnoo chafuraha kuliko shida so yatupasa tukumbuke kutendeana mema cuz atakayekuzika humjui
nani aliyetegemea kuona Saddam akifa tena kifo chakunyongwa vipi juhusu gadafi aliyegeuka digidigi kabala ykufikwa na umauti katk taifa lake mwenyew ..
daahhh inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom