Mume kamtuma mchepuko kumwambia mkewe ananuka uke

mamalao

Senior Member
Mar 8, 2015
118
49
Kisa kiko hivi:

Mume wa ndoa kamtuma mchepuko amkejeli mke wake kwa maneno ya kejeli na dharau hadi kufikia kumwambia ananuka 'K' na mume anasema yeye ndio aliyemwambia hayo ayaseme kwa mke. Bad enough mwanaume haoneshi kwa mkewe kama ni tatizo yani yupo tu tena anamtetea mchepuko.

Unamshauri vipi mwanamke huyu?
 
Ningekuwa mke ni kwaheri ndoa yangu.. ili aende kwa amani akaonje joto la kuishi na mchepuko.

Hiyo ni dharau kubwa kubwa sana sana kama mwanamke lazima kujithamini kwa kweli.. kwanza mimi najua mume wangu hawezi kujaribu hilo kwangu.. huyo mke nae imekuwaje hadi anadharaulika hivyo tena kwa mpango wa mume!!! Aiseeeeee pole yake
 
Mume wa ndoa kumtuma mchepuko umkejeli mke wake kwa maneno ya kejeli na dharau hadi kufikia kumwambia ananuka K...na mume anasema yeye ndio aliye mwambia hayo ayaseme kwa mke...bad enough mwanaume haoneshi kwa mkewe kama kama ni tatizo...yani yupo tu tena anamtetea mchepuko
Moja kati ya Udhaifu wa kutupwa na ujinga wa kiwango cha PhD ni kwenda kumtangaza mke wako na kumsema vibaya na kuusema udhaifu wake kwa wabaya wake au kwa watu wengine.

Huwa nahisi vibaya mno kiukweli, hata ukiniambia au nikisikia unamsema vibaya demu wako. Sifurahishwi kabisa.
 
Mume wa ndoa kumtuma mchepuko umkejeli mke wake kwa maneno ya kejeli na dharau hadi kufikia kumwambia ananuka K...na mume anasema yeye ndio aliye mwambia hayo ayaseme kwa mke...bad enough mwanaume haoneshi kwa mkewe kama kama ni tatizo...yani yupo tu tena anamtetea mchepuko
Huyo jamaa fala sana. Hajitambui kabisa, watu kama hawa ndio hufanya ndoa ionekane ndoano.
 
Mwanamke hata kama uneolewa na Managing Director uwe na kashughuli ja kukuingizia hata 1,000 kwa siku kama faida.

Hali kama hii unaweza kula ugali na mchicha ukaishi kuliko manyanyaso haya.
Mmh kuacha Range, bungalow, mahela ya kumwaga utegemee buku kutwa napo ujasiri ujue, ingawa mi si Ke
 
Itakuwa ni kweli unanuka k inabidi ujichunguze hawezi kusema bure
 
Ni kheri kuwa masikini huru kuliko tajiri mtumwa. Hata mwanaume atakuheshimu.
Hapa umeongea ki-theory zaidi mkuu, pratically ngumu ngumu asikwambie mtu

Mbaya zaidi it's not a guarantee kuwa akiondoka atapata amani ya moyo. Maisha nayo ni equally stressful kama relationship tu. Kuishi kwa hela ya mawazo na hukuzoea, usafiri daladala na hukuzoea, menu dagaa maharage mchicha na hukuzoea, nyumba unayoishi haieleweki na hukuzoea si mchezo. It's easy saying than having it done, Ataishia kujuta tu bure.

Kwa mawazo yangu kuvunja ndoa sababu ya matusi ya mchepuko ni kukimbia fursa kwa woga wa kuwekeza
 
Du sawa bwana lakini hapo ndiyo unakuta ule usemi wa wadada bwenini tukiwa sekondari kuwa mume wangu ameshanisomea mimi ninasoma ni kue kuheszbu hela ya matumizi nyumbani
 
Back
Top Bottom