Mume hanifikishi kisawasawa

Raha jipe mwenyewe, nunua dildo

Tafuta kidumu kulinda ndoa yako

niwe wa kwanza kutafutwa humu hebu niPM

waswahili wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi. Hebu niPM nikupe unachokosa.

try me bi dada hutajutia uamuzi wako,utaiona hadi fast jet ukiachana nakuiona anga

Huu ushauri huu!
Sasa atajaribu wangapi? Kama kila mtu anayekuja na shida yake ya namna hiyo ushauri ndio huu, msha-do sana wake za watu nyinyi! Na mlegee hivyo vigegedeo vyenu!
 
Weka picha basi angalau ya hayo makalio,dah so baada ya miezi 6 na wewe unaanza kuiba ruti?

mkuu charger nimependa sana hicho kijistatement unachosema "baada ya miezi 6 na wewe unaanza kuiba ruti"badala ya mbezi-kkoo itakua ubungo-tegeta.
 
Last edited by a moderator:


Inaonekana zamani ulikuwa unakatika wakati ukiwa unatafunwa ila kwa sasa hukatiki ndio maana kapoteza ladha na wewe. Jitume uwapo kitandani uone itakuwaje!!!


Pia ikiwezekana mpe au muonjeshe tiGO kidoooooooooooooooogo uone kama hajachanganyikiwa.

Kutoka nje sio suluhisho. Ma sister duh wa kibongo hawana dili.
 
Yeye umeongea naye au umeanzia humu? Mmh bidada hebu anza kutembea kwanza kabla ya kukimbia na kuruka......
 

Kwanza unatamanisha people tu na kujidai una mikalio mikubwa na kuijua hiyo michumamboga huna lolote kama unauza sema!
 

That is un eval attack watch out,and dont betray your husband for those follish things,just prey your God.
 
Oti Kate kwa hapo utakuwa unakosea kwa namna moja au nyingine kuusemea moyo wa mwenzi wako.
kingine ni kwamba,dawa ya moto si moto,watoto wenu wanahitaji malezi yenu wote wawili,endapo mtaanza kurukaruka na vijimahusiano vya nje,mtaishia pabaya.either kupata magonjwa or hata kupeana talaka.
mlipooana mliahidiana kuvumiliana kwenye raha na matatizo.sasa ule uvumilivu uloahidi ndo huu sasa unahitajika...
jipange bidada life is not a rehearsal is a perfomance
 
Last edited by a moderator:

Oti Kate kwa mtazamo wangu me nahic issue iko namba 2 hapo juu, make akina mama wengi mkishajifungua mautundu yanapungua pia kina Baba tunataka kurudi kuleeeeeeeeee kwenye nidoz saa sita
 
Acha kujipigia debe, mke wa mtu huyo!
 
Huu ushauri huu!
Sasa atajaribu wangapi? Kama kila mtu anayekuja na shida yake ya namna hiyo ushauri ndio huu, msha-do sana wake za watu nyinyi! Na mlegee hivyo vigegedeo vyenu!

:A S 39: akili za kuambiwa changanya na zako-Mbayuwayu
 
ushauri.

1.zungumzeni

2.kiwango cha jana si sawa na cha leo.kuna kushuka kiwango

3.mheshimiane kumtangaza mmeo kwenye mtandao siyo tija.

4.mapenzi ni ubunifu,

5.shika sana ulicho nacho asije mtu akatwaa.

6.rizika na ulichonacho.

7.mapenzi ni kitu cha muda tu ,angalia familia ,tunza watoto,jenga uchumi na mheshimu mungu wako.

8.jiachie unapokuwa na faraga na mmeo ,hata bao moja linaweza kukukuna sanaana kama hisia na
saikoljia yako itakuwa imetulia.

9. Epuka ushauri na maneno ya wenzako kulee saloon.

10. Amani ndani ya nyumba ni zaidi ya mapenzi na pesa dada.jiulize ni wangapi umewahi kuwaona
wanatembea barabarani kama mke na mume.hakuna ,utakuata kila mtu kivyake...

11.mwisho-heshimu ndoa yako kuna msururu wa wanawake wanatafuta waume hata wa kuwapa bao moja hawapati.
 
muogope MUNGU wako....ongea na mumeo akelewe,yaishe!

 
Ukifikia muafaka kupiga show nje,utani-PM maana kwa Mara ya mwisho nimepiga show mwezi wa 11. Nilikua nipo kwenye distance love nikapigwa chini December 3 kwhy nikutoe Shaka.
Umepata jembe hapa
 
wanawake wa siku hizi bwana mnakula chips mayai mno ndio maana mnanenepa makalio mpaka mnakera waume zenu sasa baada ya umbo kubadilika waume zenu wanawakimbia mnataka mechi za nje,punguza chips mayai umentain figure!
 


Hii ni ya 31/1/2012, mwombe ufafanuzi hapa, halafu aya ------ anajidai nayo sana. Utamjua tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…