Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,170
- 17,584
Wanaume wapo ulipo chamuhimu upunguze maringo,jeuri,kujisikia na kiburi japo uwe na msimamo wa wastaniWakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Sent using Jamii Forums mobile app
