Mume anapatikana wapi

Wakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Ukiwa wewe tiyari utampata mme wako halali kama unataka mwanaume ila kama unataka mwenye gari, nyumba, mtu wa viwanja, utapata ila sio mme. Mme wa kweli yupo na mtaanza maisha mkiwa wote. Epuka playboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitanda hiki hakina shida yoyote na ni cha sita kwa sita godoro nchi 10
Chaga yake ni imara sana
Ni kitanda cha chuma
Bei ya kitanda peke yake ni 290,000
Ukichukua vyote 395,000
Location Dar ea salam
Njoo PM
20190319_202253.jpeg


you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Kitanda hiki hakina shida yoyote na ni cha sita kwa sita godoro nchi 10
Chaga yake ni imara sana
Ni kitanda cha chuma
Bei ya kitanda peke yake ni 290,000
Ukichukua vyote 395,000
Location Dar ea salam
Njoo PMView attachment 1049332

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Duh! Afadhali hata!! Eti Mume!! Ukimuona utamjua?? Jifanye trafiki usimamishe kila gari kali ucheki ndani!! Mume anapatikana huko! Nyaloti wahed!
 
Back
Top Bottom