Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,876
- 4,529
Kama unasimu pitia phonebook jina moja baada ya lingine. Yumo.Wakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Sent using Jamii Forums mobile app