Mume anapatikana wapi

Mume anapatikana wapi

Wakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada

nenda magereza ya segera na ukonga wanakusubiri ili kesi zao za kuiba pesa utumie
 
Endelea kuchagua tu, sijui mrefu, mweupe, mwenye gari, awe na degree. Utakutana nae tu usijali
 
Back
Top Bottom